Zoezi la Bashite na umati mkubwa wa watu

Zoezi la Bashite na umati mkubwa wa watu

Kwanini usimkumbushe kwa kuanzisha harambee ya kumjengea mhanga huyu?
Mpige bado la kiadili ili ajue hata wewe unaweza.
Vinginevyo funga mdomo
Alipokuwa anaahidi mbele ya media alitegemea nini?

Kiufupi Makonda hana completed job zaidi ya kurupukurupu.
 
Kinachoendelea Dar kwa zoezi lililobuniwa na bashite la kuwapa watu fulsa ya kuwaona wanasheria na kutoa dukuduku zao limepata mwitikio mkubwa na watu wengi wanasifia kwa namna wanavyosaidika ,
kiukweli hata mimi nimeona ni jambo ambalo limeweza kuibua makubwa yaliyokuwa yamejificha ,dhuruma zilizokuwa zimepewa kibari lakini sasa zimetibuka.

hii inaonesha kulikuwa na udhaifu sana wa utendaji wa kitaasisi hasa zile zinazohusika na huduma kwa jamii.
Ombi langu, mkuu wa mkoa kama anataka kutibu chanzo cha haya matatizo, apambane kuimarisha taasisi ili mambo yawe endelevu.lazima mfumo uwe wazi na huru kutatua matatizo ya wananchi on daily bases. tumpongeze kwa hili pia ,
Binafsi nampongeza kwa jitihada anazozifanya, kwa kiasi fulani anajitahidi kujishughulisha, ni vitu ambavyo vilipaswa kuwa addressed na walio juu kwa nchi nzima kwa kuwa yote anayoyafanya yako nchi nzima, so ukizungumzia vyeti utaona swala hilo lina upana wake. Afadhali yake kuliko rafiki yangu mmoja anaefanya siasa badala ya kuangalia vitu vinavyogusa watu
 
Unaumwa wewe sio bure! Kwa taarifa yako wauza ngada wote ni makada wa ccm na ndio walikuwa wafadhili wenu wakuu na huenda hata wewe ulikuwa mnifaika kwa kulipwa buku tano kipindi cha kampeni!
Jiulize, ni kwanini lilizimwa kama mkaa wa wakati wa dhiki na hadi leo kimya am mateja yamerudia palepale kwa kasi ileile na kwa bei affordable kabisa! Nani wanaingiza na kuuza kama siyo makada wa lumumba fc ccm?
Mboe ni kada wa ccm??
 
Pamoja na mapungufu madogo aliyo nayo Mkuu wa mkoa PM,ila mpeni haki yake,kama kuondoa nauli kwa walimu limefanikiwa knachotokea ni kwamba baadhi ya walimu,wameacha kwa hiari yao kutokana na mtazamo binafsi,lakin pi swala la viungo bandia kwa watu waliokuwa wamepotezam matumaini yalirejea,so Pm pamoja na mapungufu yake lakini,kuna kitu anasaidia wananch
 
Baada ya hapo kuwasaidia waliyozulumiwa haki zao...amesema anahamia kwenye upande wa baba waliotelekeza watoto wao...sasa nadhani hapo akifanikiwa kutibu tatizo la baba kukataa watoto wao nakuwatelekeza ...hapo ntaacha kumuita bashite ...coz atakuwa amepunguza watoto wa mitaani kwa asilimia kubwa na pia kurudisha furaha kwa watu waliokata tamaa...na singles mothers wataishi maisha flani mazur.
Kuna wana ndoa hawana furaha maana akina baba wengi wamebambikiwa watoto. Afike hadi huko ili awanusuru akina baba wanaoishi kwa stress!
 
Sifa za watu wenye maradhi, wajinga na Maskini ni kuitikia miito ya babu wa loliondo, meli ya wachina n.k. Sifa ya ujinga,maradhi na umaskini ni kuisha katika muda mfupi.( no future just an incidence)
 
Ata akitangaza watu waje kukutana na malaika kwamba watasamehewa dhambi zao Ila sisi tunataka vyeti na tutaendelea kumdai vyeti,haiwezekani watu 12000 watolewe hawana vyeti halafu yeye aachwe,kama nani!? Hata ikiwa 2025 au 2027 Ila vyeti tutamdai tu mpaka avitoe.
[HASHTAG]#HapaVyetiTu[/HASHTAG]
 
Maendeleo yatakuja kwa kufanya mabonanza mengi ya huduma zilizo wajibu wa serikali kutoa kwa wananchi wake kweli?
 
Seriously huyu dogo mm nampenda sana kuliko maelezo. Yaan umri tu ndo naona bado ila nlitamani awe rais baada ya magu. Ila sasa ngoja afikishe angalau 50+ ujana uishe majaliwa atamshikia another 10yrs. Atakuwa ameshaiva
 
Yaani pamejaa. Angeongeza muda au awawekee dawati hao watu kwenye mahakama zao za wilaya. Hawezi kuhudumia watu wengi vile kwa week moja.
 
Back
Top Bottom