Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,697
- 239,262
Kitu cha kwanza ombeni zuio la maamuzi hayo ya uonevu , mpaka pale mahakama itapoambiwa kwa nini Wakuu wa Mikoa na mbumbumbu wengine wameachwa bila kuguswa .
Msiogope ! Mahakama ndio sehemu pekee kwa sasa nchini Tanzania inayoweza kuwatendeeni haki.
Upo ushahidi usio na ukungu wowote kwamba , Ma- RC na Ma-DC ni watumishi wa umma na hawana uhalali wowote wa kufoji vyeti , ninafahamu kwamba RC aweza kuwa Mtanzania yeyote yule anayejua kusoma na kuandika tu , lakini vipi wale walioleta nyaraka za kughushi ?