Zoezi la Bashite na umati mkubwa wa watu

Zoezi la Bashite na umati mkubwa wa watu

Taja mambo kumi aliyoyafanya ambayo wengine hawayawezi na faida zake. Na
Nitajie jambo 1 tu aliloliweza Mbowe tangia awe Mwenyekiti wa cdm. Ameshindwa hata kumuapisha Lowasa kuwa rais wa mioyo ya wanachadema!!
 
Nimejifunza kitu kutoka kwa makonda.NACHO NI: Kama jamii haikuelewi leo komaa tu na msimamo wako itakuelewa hata kesho
 
Nimejifunza kitu kutoka kwa makonda.NACHO NI: Kama jamii haikuelewi leo komaa tu na msimamo wako itakuelewa hata kesho
Vilaza wa ufipa tu ndio
hawamwelewi Makonda.

Jamii ya werevu inamwelewa sana Makonda
 
Yule Makonda sio wa mchezo mchezo! Hana wa kulinganishwa nae kwa wapinzani, tufunge midomo tukalale hamna hoja juu ya Makonda yule ni mtu wa waungwana wa nchi hii. Wacheni povu futa kamasi uchape mwendo. Makondaaaaaa piga kazi tunakukubali baba. Hawa much know hawana jipya uwe na cheti usiwe na cheti wewe ni Leader Material tu, hawa walitaka kutuletea rais aliyesomea mazingaombwe Bagamoyo lakini Mungu kaepusha balaa, na sijui tungekuwa wapi leo , nyoooo !!!! Haihitaji ustaarabu kuwajibu hawa ni kuwa simple na kuwapa makavu live. Shit.
 
Hivi watu wamesahau mikutano kama hii Bashite alishawahi kuifanya siku za nyuma na mbwembwe zikiwa ni hizi hizi za kusaidia watu waliodhulumiwa haki zao!! Moja ya mikutano yake maarufu ukiwa ni ule wa kumpigia ba' mdogo simu na kwenda nae live mbele ya wananchi!
 
Msaada wa kisheria bure upo. Tanzania nzima. Kuna mradi unafadhiliwa na LSF. upo mikoa yote Tanzania. Wanatrain paralegals ambao wanatoa huduma kwa wananchi bure kwa mikoa yote Tanzania. Anachofanya ndo kinafanywa sasa na kinachoendelea kufanywa na hawa watu(LSF)
 
Back
Top Bottom