Majina ya vijana wanaojiunga na JKT kwa mujibu wa sheria 2017

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,701
71,035
Wakuu nimemsikia mkuu wa utumishi JKT akitangaza kuwa wanaojiunga na JKT mwaka huu wanatakiwa waanze kuripoti kuanzia tarehe 25 mpaka 30 May 2017.

Na akaongeza kuwa majina yao na kambi wanazotakiwa kuripoti yanapatikana kwenye tovuti ya JKT ambayo ni www.jkt.go.tz, lakini kila nikifungua naona ya miaka iliyopita, naomba mwenye link atuwekee hapa.
 
Wakuu nimemsikia mkuu wa utumishi JKT akitangaza kuwa wanaojiunga na JKT mwaka huu wanatakiwa waanze kuripoti kuanzia tarehe 25 mpaka 30 May 2017, na akaongeza kuwa majina yao na kambi wanazotakiwa kuripoti yanapatikana kwenye tovuti ya JKT ambayo ni www.jkt.go.tz, lakini kila nikifungua naona ya miaka iliyopita, naomba mwenye link atuwekee hapa
naona wanazingua 2
 
Kwaiyo kumbe nafasi zilishatangazwa Muda 2 hadi wanaambia walipoti.
Weka source
 
IMG_20170524_040443_193.jpg
Wazushi sana hawa jamaa. Hawajaweka majina na Website haifunguki.

Wametoa muda mfupi wa kuanza kuripoti kambini (25-30/May) utadhani kila mzazi amejiandaa na hawakuzingatia kuhusu taarifa kuwafikia wanafunzi kote nchini (Mazingira)
 
View attachment 513526Wazushi sana hawa jamaa. Hawajaweka majina na Website haifunguki.

Wametoa muda mfupi wa kuanza kuripoti kambini (25-30/May) utadhani kila mzazi amejiandaa na hawakuzingatia kuhusu taarifa kuwafikia wanafunzi kote nchini (Mazingira)
Wanatangaza wakati bado hawajajipanga
 
View attachment 513526Wazushi sana hawa jamaa. Hawajaweka majina na Website haifunguki.

Wametoa muda mfupi wa kuanza kuripoti kambini (25-30/May) utadhani kila mzazi amejiandaa na hawakuzingatia kuhusu taarifa kuwafikia wanafunzi kote nchini (Mazingira)

Usijali kuvuta pia inakuwepo nakumbuka mm nilivuta wiki mbili kutoka tarehe ya mwisho ya kuripoti kambini na mambo yakaenda sawa bin sawiyaa
 
Back
Top Bottom