Recent content by Cayla

  1. C

    JamiiForums Tanzania Gari ya SPACIO

    Mm ninayo naiuza kama unahtji niandikie namba yako ya cm ntakupgia
  2. C

    JamiiForums Tanzania haki elimu mpoooo?

    Nimeipenda maana wtt wa digital watundu ajabu...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Goba

    Mil mbil ntakupa
  4. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya Fareed kujiteka na kisha kujirudisha kwake ukweli wabainika ya Mbagala

    Nashukuru mkuu nafikir kuzungumzia hili tukio maana nikama linachochochea badala yke tuzungumzie mambo ambayo yatatusaidia zaid.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    Tunapoelekea Tz ni pabaya... Udini na ukabila ambavyo mwl alipingana navyo ndio vinataka kuanza... Tutakukumbuka mwl...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kila mwanajf amzungumzie baba wa Taifa anavyofahamu(NYERERE)

    Je unamkumbukaje kisiasa,kijamii,kiuchumi na kitamadun? nahitaj kufahamu alikuwa ni mtu wa namna gan!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Membe and Sitta: Unfit to Lead, Unprepared to Command

    May be lowasa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Habar!

    Hodi hodi! Naomba kuwa mgen wenu wanajf
  9. C

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

    Nakereka sana mnavyomjadil nyerere vibaya. Hv nyerere si alitoa elimu ya bure kwa baba zenu?na kulikuwa hamna shule za st w2 wote walisoma shle za serikal na elimu ilikuwa bora kuliko sasa. For me Nyerere ni mtu ambaye ametufanya tuish bila udin,ukabila wala rang. Naamin kila mtu anamapungufu...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Sensa ya watu 2012 maandalizi yako wapi?

    Hi ndg zangun wanajamii forum, tujiandae kuhesabiwa na tuwape ushirikiano makaran wa sensa. Usikubal kutohesabiwa. Sensa kwa maendeleo ya Taifa. Sensa oyeeee....asanten sana.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Hi!

    Hallow jamii forum.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Dada Zetu na Lift

    ndg zangun kuwen na huruma na hawa dada pind mnapowapa lift wafikishen salama usitumie huo muda kumlaghai,kumbuka na ww una dada na usingependa afanyiwe vbaya na huwa naamin ukitenda mambo mazur unabarikiwa na ukimtendea m2 ubaya siku moja utakurudia.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Dada Zetu na Lift

    Jaman mdada kupanda lift ya mkaka ajabu nn? Usafir umekuwa shda sana nyakat na jion na asbh so mara nyingne m2 inabd tuu upande simply bz of shda ya usafir so p/ze judge them.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nanunua ukarani wa sensa dodoma10%

    njaa mbaya.... Siamin km kuna kujuana sababu nimepata na simjui mtu yoyote na kat ya 400 tuliomba 2mebak 150 so naamin hak imetendeka km ujapata amin si risiki.
Back
Top Bottom