Dada Zetu na Lift

Jaman mdada kupanda lift ya mkaka ajabu nn? Usafir umekuwa shda sana nyakat na jion na asbh so mara nyingne m2 inabd tuu upande simply bz of shda ya usafir so p/ze judge them.
 
Amin Amin nakuambia mwaJ, Mwanamke akiona mwanaume anaendesha gari hata kama ni DFP, SU, STK akapewa lift akakubali.......... Ni uamuzi tu wa dereva akafanye naye nini?

Wanawake wengi wamelogewa GARI!! Period!!
Mkuu, hata Hiace Pia ni Charm....
 
jaribu kutoa lift Yaeda uone ka kuna mtu atapanda......nani wa kunyonyesha kobe......
Preta , Yaeda ndo wapi huko tena tujihadhari na waomba lift wa huko
 
Last edited by a moderator:
Mshiki hebu soma vizuri hapo kwa red



Kifupi ukipewa lift na usiyemjua afu ukakubali.......... iwe Yaeda, Ngaramtoni, Machame, Kinondoni au Mwanza.... Kishaliwa huyo!

Ni sawa na mhudumu wa Bar anapompa mlevi namba yake ya simu, ujue kishakubali kumvulia pichu.

Hii Mifano yako ni Hai Mkuu, you touch the point
 
ndg zangun kuwen na huruma na hawa dada pind mnapowapa lift wafikishen salama usitumie huo muda kumlaghai,kumbuka na ww una dada na usingependa afanyiwe vbaya na huwa naamin ukitenda mambo mazur unabarikiwa na ukimtendea m2 ubaya siku moja utakurudia.
 
Na nikinunua gari mtanikoma
Nitakuwa kama Vampire, nawapa lift, nawanyonya damu afu siwali

Ndio mtakapojibeba.
Lakini Kongosho, sie mbona hatuwatendi Mabaya mara tuwapapo lift, Mbona Hivyo Mamii
 
Hv inakuweje we Dada,Umesimama kituoni, Mwanaume nasimamisha Gari from no where, nakupigisha story 2 3 mwisho wa siku unaishia kuingia garini as a lift
Msinibishie coz nshawapa lift wa Dada zaid ya 10 Kwa style hiyo hiyo.....

hata mi huwa inanishangaza sana japo me ni mdada lakini no no sina hyo tabia. i have my collegue ana tabia hyo yaani huwa nashindwa kumwelewa. mtu humfahamu unapanda kwenye gari yake akikudhuru je?
 
Bramo inaelekea we pia huwa unapenda kutoa lifti..maana kitu gani kinakupeleka na kuanza kumpigisha story huyo mdada? Au na wewe ni wale macho juu juu?
Wenzio pia tuna magari lakini kanuni ni kwamba,mtu kama sikujui No kupanda..
Utabakia kutoa macho tu,labda uwe na mtu ninayemjua.
Mkuu we kwani Dini gani?
 
Amin Amin nakuambia mwaJ, Mwanamke akiona mwanaume anaendesha gari hata kama ni DFP, SU, STK akapewa lift akakubali.......... Ni uamuzi tu wa dereva akafanye naye nini?

Wanawake wengi wamelogewa GARI!! Period!!


kweli bwna, kuna mmoja tupo nae alishamegwa kwa lifti dah mbaya sana sana. hata sijui shida ni nni.

unaingia unakaa kwenye siti hujiulizi wamekaa wangapi na akikushusha ww atampakia nani.
 
Hv inakuweje we Dada,Umesimama kituoni, Mwanaume nasimamisha Gari from no where, nakupigisha story 2 3 mwisho wa siku unaishia kuingia garini as a lift
Msinibishie coz nshawapa lift wa Dada zaid ya 10 Kwa style hiyo hiyo.....

kwani kuwasaidia dada zetu dhambi? ishu iko kwa mtoa lift kama ndo mtindo wake kutoa lift ili apate pa kuanzia haya, mimi mwenyewe sometimes napataga kutunukiwa na wadada kutokana na ukarimu wangu wa kuwapa lift
 
kweli wadada wengi wanapenda lifti ila haimaanishi ni wote. sawa Bramo aka Mr.Liftman?

Mimi ni bora nipande daladala au bajaj kuliko lifti. Lifti zina mambo mengi sana, kuna wengine wanaibiwa na kutelekezwa vilevile kuuwawa kikatili. Kuwaziaga mambo mabaya kama hayo hunifanya nisiwaze kupanda lifti za watu.

Haiingii akilini mwangu kupanda gari ya mtu nisiyemfahamu hata awe mwanamke mwenzangu. kwangu mie Usalama wa maisha yangu ni kitu muhimu.
 
We mwanaume unaanza vp kumpa lift mwanaume mwenzio unless kakuomba, otherwise utakuwa na lako Jambo wewe...
Unapompa Mwanamke si unakuwa na lako jambo? Hata hao wanawake si wanaomba kama wanavyoomba wanaume? Labda mimi bado sijaelewa hapa...Naomba ufafanuzi Mkuu
 
Unapompa Mwanamke si unakuwa na lako jambo? Hata hao wanawake si wanaomba kama wanavyoomba wanaume? Labda mimi bado sijaelewa hapa...Naomba ufafanuzi Mkuu
Mie niemestick pale ulipo mention kuwa huwaga unatoa lift kwa wanaume though Asprin kaahid kuleta mada iliyoshehen hii content, je wanaume huwaga wanakuomba lift au wewe huwaga unasimama, unawapigisha story 2 3 then wanajipakia garin as alift, ni hayo tu Mkuu
 
Last edited by a moderator:
Kila tunachofanya , tunafanya hivyo kwa ajili ya wanawake-wake zetu, ubavu wetu. Nafikiri ni fahari kumpa mwanamke lift
 
Back
Top Bottom