Baada ya Fareed kujiteka na kisha kujirudisha kwake ukweli wabainika ya Mbagala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya Fareed kujiteka na kisha kujirudisha kwake ukweli wabainika ya Mbagala

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lugeye, Oct 20, 2012.

 1. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,080
  Likes Received: 1,379
  Trophy Points: 280
  Taarifa zilizofuja kutoka kwa waislamu wachache waliotengeneza tukio la kukojolewa QURAAN,zimedai kwamba hilo tukio liliandaliwa rasmi ili kuzusha vurugu ili ziendane na zile za zanzibar za kiongozi wa uhamsho kujiteka na kusababisha uvunjifu mkubwa wa amani,taarifa zinadai kua hakukuwa na ukojolewaji wa hicho kitabu wala nini ni uvumi tu ulizushwa na huyo mtoto aliandaliwa tu kimtegomtego kutokana na umri wake mdogo na ndio maana hiyo quraan wanayodai imekojolewa haikupelekwa POLICE as EVEDENCE,NA MPAKA SASA WAZAZI WA HUYO KIJANA ALIYEKOJOLEA QURAAN HAWAJULIKANI,zaidi ya hao wazazi wa mtoto wa kiislamu,na hata iyo nyumba anayokaa huyo mtoto anaedaiwa kukojolea kitabu haijulikani,waratibu wa hii move wanadai kua lengo lilikua baada ya waislamu kuchoma makanisa nao wakristo wajibu mapigo kwa kuchoma miskiti na kisha iwe mwanzo wa vurugu na kushinikiza MUFTI ajiuzulu kwa kushindwa kulinda miskiti isichomwe.
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,819
  Likes Received: 36,911
  Trophy Points: 280
  Sinema inaendelea.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mmh, sishangai

  maana haya maanadamano hayaeleweki, mara kiwanja kirudishwe mara mtoto kakojolea nini.

  Basi maruwe ruwe tupu
   
 4. Life.co.tz

  Life.co.tz JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 618
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 80
   
 5. Kuchasoni Kuchawangu

  Kuchasoni Kuchawangu JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 469
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mwaka huu mpaka uishe tutasikia mengi.
   
 6. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Balaaaa.
   
 7. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  duh mapicha'picha tu...
   
 8. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,144
  Likes Received: 2,178
  Trophy Points: 280
  Unaishi wapi mkuu manake habari unazoleta zinatia mashaka mashaka tupu... Acha kuchezea akili za Watu.... Weka na Ushahidi wa kutosha bora kuacha kuleta uzushi humu jf watu tunasoma upuuzi tu ndio ishakuwa jf uzushi tu.. Mods nawaomba mfute thread kama hizi...
   
 9. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Silly...
   
 10. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Usiseme waislam.. Sema wahuni! Kutugroup pamoja unakosea mkuu

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 11. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanafki utawajua tu. Toa udaku wako hapa
   
 12. Umslpogaaz

  Umslpogaaz Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 14, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii habari inafanana na hii hapa:BBC News - Pakistan Christian girl accused of blasphemy released

  A Christian girl in Pakistan who was arrested on blasphemy charges has been released from prison in Rawalpindi, a minister has said.

  On Friday a judge ordered her release and set bail at about $10,500 (£6,200).

  The girl, thought to be 14 years old but with a younger mental age, was arrested last month after a mob accused her of burning pages of the Koran.

  Last week an imam was remanded in custody, accused of planting burned pages of the Koran in the girl's bag.

  The case against the girl, known as Rimsha, has sparked international alarm and has been condemned by human rights groups.
  Blasphemy is not a bailable offence but her lawyers pleaded that she was a juvenile.
  '
  Met family'
  The girl's lawyer said she had been released after two guarantors posted a bond against assurances that she would reappear in court, the AFP news agency said.

  Pakistan's minister for national harmony said the girl was transported by helicopter to a safe location where she was met by her family.

  Her father had previously said he feared for his daughter's life and for the safety of his family.
  Rimsha's parents were taken into protective custody at an undisclosed location following threats. Many other Christian families fled the neighbourhood after her arrest.

  Rights activists have long urged Pakistan to reform its blasphemy laws, under which a person can be jailed for life for desecrating the Koran.


  In March 2011 Shahbaz Bhatti, the minister for minority affairs, was killed after calling for the repeal of the blasphemy law.

  His death came just two months after the murder of Punjab Governor Salman Taseer, who also spoke out about the issue.
  Blasphemy is a highly sensitive issue in Pakistan, where 97% of the population are Muslim.
  In the past accusations of blasphemy have led to vigilante killings by mobs.
   
 13. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Chanzo
   
 14. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 15. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  Mmh. Interesting theory.
   
 16. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 886
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Nchi imefika hatua mbaya. Sasa hivi jirani asipokupenda tu anaweza kuanzisha rumour kuawa umekojolea Quran na huo unakuwa mwisho wako na familia yako.

  Tuache kuchanganya siasa na dini!

  Chezea vyote lakini usichezee imani za watu. Katika siasa mnaweza kutofautiana na bo mkabaki marafiki. Ndani ya imani, watu wako tayari kufanya lolote - hata kujilipua. Mifano ya kuchanganya dini na siasa imetamalaki

  - Ireland wakatoliki hawaelewani na waprotestanti na wameshauana sana
  - Iraq Wasunni na Washia hawapikiki chungu kimoja na wanaendelea kuuana
   
 17. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
   
 18. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  kwani huyo mufti wa wakatoliki sisi anatuhusu nini ? hakuna muislam anaemsikiliza zaidi yenu ndo maana mnakinga kwa nguvu zote
  ila hatutaki awesee waislam ndo maana tun ataka aon doke ende kanisani jumapili
   
 19. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ninachojua mimi ni kwamba sio waislam wote wanapendezwa na fujo zinazoendelea hapa nchini. Hiki ni kikundi cha wahuni wachache wanaotumia mgongo wa dini kufanya fujo kwa maslahi yao. Hii inadhihirika kutokana sababu zinazotolewa kwamba ndio chanzo.

  Hapa tunatakiwa kuwa makini tusije tukaingia mtegoni. Kwani uislam umeanza leo hapa nchini? Miaka yote tumeishi kwa amani na upendo pamoja na shida zetu zinazotuzonga,iweje leo ndio waislam waone wananyanyasika. Kama ni umasikini unatuhusu wote wenye dini na wasiokuwa na dini.Neema wanayo mafisadi tu wote wenye dini na wasio na dini(kama wapo!) Tunashindwa kupigana na ufisadi tumeanza kuchukia majirani zetu ambao wote tunashindia mlo mmoja,hii ni akili kweli! Hivi wanoshabikia ujinga huu walishawahi kwenda vijijini mbali huko wakaona wananchi wanavyohangaika na ugumu wa maisha? Kule watu hawajui hata hizi dini tunazibishania hapa! Tena kama kweli kuna nia njema ya ukombozi mimi naona ingelenga kukomboa wananchi hawa, maana sasa wao anawasemea nani,huu si ndio ubinafsi wa dhahiri kabisa! Halafu kwanza sijajua hawa watu wanapambana na nani sasa. Wananapambana na wakristo au hata waio wakristo? na ikiwa ndio hivyo amani ikivujika wasiokuwa wakristo nafasi yao iko wapi. Mimi naamini haya sio mafunzo ya kiislam, na hapa waislam wanatakiwa kuwa makini, wasije wakakubali kutumika kama rubber stamp ya kuruhusu hiki kikundi cha wahuni kutuharibia hali ya hewa.

  Huu ni uhuni tu ndugu zangu,tuweni macho tusije tukapotea. Tunatakiwa kujiuliza ikiwa amani itaondoka je ni wakristo tu ndio watakaopoteza,au je ni kweli kwamba ndiyo itakuwa suluhu ya shida za waislam? Tunapokwa tunafikiria kuanzisha fujo,tusisahau pia kuwa nyumbani mwetu tuna watoto wadogo wanaotegemea ulinzi wetu.Tunao akina mama wasiojiweza,wengine wajawazito wengine wagonjwa, wote hawa wanatutegemea. Tusiangalie upande mmoja tu,hebu tujaribu kuangalia na upande wa pili. Halafu tuwe na busara japo kidogo, unapodai haki unatakiwa pia kutimiza wajibu wako! Je,ulinzi wa familia zetu tunauweka wapi tunapotaka kuchafua hali ya hewa.Je,tumewaanda vipi watoto wetu na wazee wetu kujihami ikiwa amani itatoweka?Tumewaandalia wapi pa kukimbilia? Tuache masikhara jamani. Hii nchi ni yetu sote,walio na dini na wasio na dini.

  Malumbano ndani ya Jamii forums yasitufanye tukapandwa na jazba na kufanya mambo ya ovyo,kwa sababu hata humu hao wahuni wanafika na kueneza propaganda zao chafu. Hata hivyo pamoja na kwamba nimechangia post hii,bado sina imani na mtoa mada. Inaonekana habari yake ina sura ya kuamsha hisia mbaya kwa waislam,ni kama imekaa kiuongo uongo maana mtoa mada hajatoa ushahidi wa kutosha kuthibitisha ukweli wa habari yake.
   
 20. C

  Cayla Member

  #20
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru mkuu nafikir kuzungumzia hili tukio maana nikama linachochochea badala yke tuzungumzie mambo ambayo yatatusaidia zaid.
   
Loading...