Vituko mahakamani: Kesi ya waliogomea sensa, Hakimu awa mdhamini wa washitakiwa

Kama kipengele cha dini ndio mapungufu ya zoezi la sensa basi Chadema tulikuwa na kila sababu ya kuunga mkono zoezi la sensa.Kama kuna dini yoyote inataka kujua idadi ya waumini wake ipitishe zoezi la sensa kwenye nyumba zake za ibada.
Unajua Huyu jamaa kaleta hii mada sababu anajua CDM ndio wanaongoza serikali iliyo madarakani
 
Na wameyachakachua haswa Sajenti.......mie kuna mtu nilimwambia hii sensa CCM wanaitumia kuchota mahela kwaajili ya uchaguzi ujao akanibishia......bora na wewe umeona hivyo.......ndio maana pamoja na mizengwe yote iliyojitokeza bado tu serikali imeamua ifanyike......kwa mwenye busara angeifutilia mbali kabisa lakini sio hii serikali yetu dhaifu.....imezoea kuiba kila kukicha!
Mkuu fuatilia comment zangu tokea sensa ianze nimeyasema hayo
 
Tatizo hili jukwaa kila hoja mwaleta UCHADEMA na UCCM.. UKRISTO na UISLAMU.. Acheni UPUMBAVU nyie... Great SINKERS..

Nisije limwa BAN bure.. Najiondoa..

Ni kweli Mkuu kila serikali ya ccm ikichemka lawama CDM sababu ndio inaongoza serikali iliyo madarakani ya ccm Wacha magamba watokwe povu maana waishiwa maneno, Kuhusu ban wewe muache mjinga awe mjinga Kama hataki kutoka kwenye ujinga ukimtukana wote mnakuwa wajinga Kama nwenezi wa ccm ukimuuliza swali au Hoja yeye anajibu taarabu Alafu next time usiseme sinker sema thinker Tehe Tehe Tehe
 
hakimu katumia busara- hivi ili zoezi la sensa lisenge weza kufanikiwa kama kila mwenyekiti wa nyumba kumi angeambiwa awasilishe idadi ya watu ktk eneo lake?
 
Hii imetokea leo katika mahakama iliyopo ifakara mjini, hakimu baada ya kuwasomea kesi waislam waliogoma kuhesabiwa, amewawekea dhamana yeye mwenyewe ya sh 500,000 kila mmoja ili kuepusha shari ya waumini waliokuwa wakiongezeka kwa kasi mahakamani, Sambamba na hilo, waumini hao ambao weni wanatoka kiberege na mang'ula walipewa usafili wa bure wenye uhakika kurejea makwao. Kesi imehairishwa hadi tarehe 10 october.

hongera hakimu,,,,,,,na hii kesi isogeze mbele kwa miaka mingi kama kesi ya yona na mramba
 
Kwa sasa hakuna zoez lolote la kitaifa mabalo litafanikiwa ktk nchi hii,,,liwe la tija lisiwe la tija,,,,,,zaid ni zoez la kuandikisha watoto shule za msingi
 
Sensa ya 2012 haitakuwa na matotokeo yaliyotarajiwa. Idadi kubwa hawakuhsesabiwa kwa sababu ya imani zao na pia nyumba nyingi bado hazijapitiwa na inaishia tarehe 2/09.
 
Kama kipengele cha dini ndio mapungufu ya zoezi la sensa basi Chadema tulikuwa na kila sababu ya kuunga mkono zoezi la sensa.
Kama kuna dini yoyote inataka kujua idadi ya waumini wake ipitishe zoezi la sensa kwenye nyumba zake za ibada.

vilevile huoni kwamba serikali inatakiwa kuwa na takwimu hizo ili yasitokee mambo ya kundi fulani kupika takwimu
 
Hii imetokea leo katika mahakama iliyopo ifakara mjini, hakimu baada ya kuwasomea kesi waislam waliogoma kuhesabiwa, amewawekea dhamana yeye mwenyewe ya sh 500,000 kila mmoja ili kuepusha shari ya waumini waliokuwa wakiongezeka kwa kasi mahakamani, Sambamba na hilo, waumini hao ambao weni wanatoka kiberege na mang'ula walipewa usafili wa bure wenye uhakika kurejea makwao. Kesi imehairishwa hadi tarehe 10 october.[/QU
 
Back
Top Bottom