Recent content by Cas-9

  1. C

    Wasifu wa Kamanda Emmerson Mnangagwa, Tanzania imemjenga vilivyo

    Nilidhani ni mimi mwenyewe kumbe tupo wengi. Yani mtu kuja Tz tu pengine kwa siku au wiki kadhaa basi eti yadaiwa Tz imemjenga vyema!
  2. C

    Zitto: Tuliambiwa hostel za UDSM zimejengwa kwa bil 10 ila ripoti ya CAG inasema zimejengwa kwa bil 54. Uwongo! Uwongo!

    Bila shaka wewe ni Great Thinker, nimekuelewa sana. Ni bora CAG asitekeleze kwa ufanisi majukumu yake maana yeye ni ustadhi.
  3. C

    North korea: No diplomacy until ICBM can hit US

    Yaani ulioongea kwa mikwala utadhani Trump mwenyewe!
  4. C

    Nafasi 1 ya kazi ya kukusanya data za kilimo

    Habari wakuu. Natafuta mtu anayejua kiingereza vema na mwandiko mzuri. Afanye kazi ya kuwasaili wakulima Njombe na Mbeya kwa kutumia dodoso maalumu la kiingereza. Atauliza maswali kwa kiswahili na kujibiwa kiswahili kisha atatakiwa ajaze majibu kwa kiingereza. Pia wakati mwingine atahusika ktk...
  5. C

    North Korea wamefanya jaribio la kombora aina ya Scud

    Mkuu, Scud za Kiduku sio hizo za kutumia liquid fuel, zinatumia solid fuel, bali inaonekana Kiduku ameshift kuelekea teknolojia ya kisasa ya kutumia solid fuel tena kwa ghafla mno ambayo inaipa changamoto US antimissile systems ktk kuziintercept. Pitia hapa chini. Source: The New York Times...
  6. C

    North Korea wamefanya jaribio la kombora aina ya Scud

    North Korea leo 29 May, 2017 wamefanya majaribio ya kurusha kombora sampuli ya Skadi ambalo limesafiri km 450 na kutua baharini kati ya Korea na Japan. Japani wamelalamikia zaidi na kusema jaribio la sasa ni tatizo zaidi ktk usalama wa usafiri wa majini na angani. Source: CNBC Business News and...
  7. C

    NORTH KOREA AND KIM UN DEFIANCY

    Halafu jana tu imeripotiwa yupo tayari kwa mazungumzo, timu Trump wakadai kaufyata. Kumbe alikuwa anataka kuwafanyia surprise! Kim ni sheeedah!
  8. C

    Ajira mpya zisipotoka serikalini mwezi huu hali itazidi kuwa ngumu mtaani

    Waliotumbuliwa walikuwa wakinadi sera hiyo kuwaambia wenye vyeti halisi walio mtaani wakisaka ajira. Sasa leo wanalia lia wanasahau kama walikuwa wakinadi sera ya kujiajiri!
  9. C

    Natafuta mume wa kunioa

    Amesema umri usizidi 45 akimaanisha 45 yrs ni maximum. Ukiwa 18-45 waweza chukua mzigo. Sasa apunguze vp tena?
  10. C

    N Korea yaitishia Israel baada ya Liberman kumwita Kim mwendawazimu

    Kwa hiyo hao wako against na US, hata kama Tz wakiipiga mkwala US kwa level yetu (zana zetu) watakuwa upande wa Tz ili kwenda kinyume na US
  11. C

    N Korea yaitishia Israel baada ya Liberman kumwita Kim mwendawazimu

    Napendekeza swali hilo wasijibu Timu Trump wala Timu Kim, wajibu wale wasiofungamana na upande wowote.
  12. C

    N Korea yaitishia Israel baada ya Liberman kumwita Kim mwendawazimu

    Mkuu mi ninachokonoa tu timu Kiduku watakuja jazia!
  13. C

    N Korea yaitishia Israel baada ya Liberman kumwita Kim mwendawazimu

    Source: The Times of Israel Karibuni jamvini.
  14. C

    Iphone 6s plus

    Uko sahihi.
  15. C

    Huawei Honor 7 Lite

    Shukrani, nilichanganya madesa. Waya wake huu hapa.
Back
Top Bottom