Nafasi 1 ya kazi ya kukusanya data za kilimo

Nafasi 1 ya kazi ya kukusanya data za kilimo

Cas-9

Member
Joined
Jan 2, 2017
Posts
39
Reaction score
28
Habari wakuu.
Natafuta mtu anayejua kiingereza vema na mwandiko mzuri. Afanye kazi ya kuwasaili wakulima Njombe na Mbeya kwa kutumia dodoso maalumu la kiingereza. Atauliza maswali kwa kiswahili na kujibiwa kiswahili kisha atatakiwa ajaze majibu kwa kiingereza. Pia wakati mwingine atahusika ktk kukusany sample za matunda maalumu na kuelezea sifa za miti/matunda hayo kwa msaada wa muongozo maalum. Kazi inaanza kesho kutwa (alhamisi) na akiwa Njombe itakuwa vema. Usaili utawepo pia. Aliye interested anakaribishwa inbox
 
Ungeandika vizuri sifa hasa unazohitaji (ikiwezekana kwa kuzipa namba), ungesaidia sana kupunguza maswali. Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom