Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,936
- 10,561
Zamani kabisa ulikuwa ukiona dogo anawatambia watu wakubwa tulikuwa tunakuwa makini na watu kama hao kwanza unajiuliza huyu dogo jeuri anaitoa wapi kumbe katumwa na wababe wa upande wa pili mguse uone timbwili lake hata Kiduku anatumiwa na wakubwa kumchokonoa Usa na vibaraka wake ila walishashituka imebaki mikwara tu na vikwazo