Huawei Honor 7 Lite

Cas-9

Member
Jan 2, 2017
39
28
Nauza Huawei Honor 7 Lite niliyoinunua Europe October, 2016. Nimeitumia kwa miezi 6 hadi sasa na ipo ktk hali nzuri.
RAM: 2GB
Storage: 16GB,
Ni ya line mbili na yatumia nano chip.
Ina finger print sensor na camera yenye kutoa image zenye quality ya hali ya juu zaidi....
Ukihitaji specification yake zaidi waweza google.

Bei ni 435,000.
IMG_0059.JPG
IMG_0078.JPG
IMG_0076.JPG
IMG_0060.JPG
IMG_0061.JPG
IMG_0062.JPG
IMG_0063.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom