Mkuu mi ninachokonoa tu timu Kiduku watakuja jazia!Ongezea vinyama mkuu Uzi upendeze
Hata km yangekua yanafika, Israel wenyewe vichaaa waokota makopo wangekutana.Uzuri mabomu yake hayawezi ifikia Israel
Yaani ni sawa na kutoa nyanya Dar es Salaam alafu unapeleka ILULA-iringa kuuzaHata km yangekua yanafika, Israel wenyewe vichaaa waokota makopo wangekutana.
Kichaa kim anamjua kichaa mkubwa israelHata km yangekua yanafika, Israel wenyewe vichaaa waokota makopo wangekutana.
Hlf israel anayo makombora ya kufika Pyongyang.
Hahahaah....wale jamaa ww waache tu...Nakumbuka 2007 walimwambia Bush kuhusu ujenz wa kinu cha nyuklia Syria, Bush akakataa kuchukua hatua majamaa wakandaa mpango wenyewe wakaenda wakalipua. Bush kaja kupigiwa simu anaambiwa Mission completed.Yaani ni sawa na kutoa nyanya Dar es Salaam alafu unapeleka ILULA-iringa kuuza
OmoKim ni mwendawazimu tangiapo.
Kama anawataalamu wa kutengeneza nuclear, kwa nini asiwe na wataalam wa kumwambia madhara ya kulipua lipua hayo madudu kwa maisha ya viumbe hai? Anapoyalipua lipua namna hiyo wataalam wake hawamwambii kwamba anahatarisha usalama wa mazingira kwa maisha ya viumbe hai?
Ni mwehu pekee anayedhani kulipua missiles kuelekezea baharini kunamkinga yeye na watu wake kwenye athari zake katika uharibifu wa mazingira.
Ni mwehu pekee ndiye anaweza kuzuia watu wake wasinyoe mnyoo anaonyoa yeye wala mtu mwingie kupewa jina kama lake.
Ni kichaa peke yake ndiye mtu anayweza kunyonga mtu tena binamu yake eit kwa kuwa aliongekana anasinzia kwenye hotuba yake na hivyo kuashiria upinzani.
Ni kichaa peke yake anayweza kulazimisha watu kwenda kulia kwenye mapicha ya marehemu babu na baba yake eti kwa kuwakumbuka na asiyelia kukiona.
Ni kichaa peke yake ndiye anayeweza kufanya anayoyfanya huy kiduku. Na nikweli kabisa hastahili kuruhusiwa kushika rungu kwa kuwa hana akili timamu.
Napendekeza swali hilo wasijibu Timu Trump wala Timu Kim, wajibu wale wasiofungamana na upande wowote.Trump na Kim nani mwendawazimu?
hakuna timu kiduku hao wote ni timu kremlin kila cku wanahamahama mara russia mara china mara kwa kiduku, baada ya zile tomahawks za syria timu kremlin wote wamehamia kidukuMkuu mi ninachokonoa tu timu Kiduku watakuja jazia!
Yani mwache atishie wote ila sio Israel maana wale wenyewe nao wamevurugwa.Kichaa kim anamjua kichaa mkubwa israel
Akili zao ziko mbele zaidi ya akili za kawaidaYani mwache atishie wote ila sio Israel maana wale wenyewe nao wamevurugwa.
Kwa hiyo hao wako against na US, hata kama Tz wakiipiga mkwala US kwa level yetu (zana zetu) watakuwa upande wa Tz ili kwenda kinyume na UShakuna timu kiduku hao wote ni timu kremlin kila cku wanahamahama mara russia mara china mara kwa kiduku, baada ya zile tomahawks za syria timu kremlin wote wamehamia kremlin
Hahahaha..... Na team mbanjuo kwa mapovu hawajambo. Me simoooo. Kwanza sina Team.Mkuu mi ninachokonoa tu timu Kiduku watakuja jazia!