Wakat unatongoza maana kuna kunakuaga na malaika ambao wanatutonyaga pale mnaposema uongo ndio maana na cc tunawadanganya [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yan ww ndio umefunika.....ila hata dada poa wapo ucku na vibaka pia wapo ucku bila kuwasahau wale waruka kwa anga pia n ucku [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...lol
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.