Mke wangu ni mzuri kisura, sitaki kumruhusu kwenda kujiendeleza kielimu

u
Weka picha aonekane.je ni bikira? Ngoja aanze kwenda buchani.genge la mkaa hata kanisani akianza kuimba kwaya lazima atekenywe
una manisha usitishike na Rangi ya Nje ya gari maana linaweza kung`aa kwa nje lakini Kilometer zinasoma 500,000
 
Sura tu pekee? wala usiwaze bro. Big 'chura' ndo mali-ghafi wanted zaidi hapa mujini.

Kama ana sura + chura, basi fungia kabisa kwa kufuli kuuuuubwa asiende hata gengeni. Ila sio unaifungia ndani afu unaipapasa tu daily, utachapiwa tu ata na wapanga rangi za kucha maana hawa wao huenda majumbani kabisa.

Simama dede, simamia kucha!

BTW... mwananke hachungwi..

-Kaveli-
 
Bora aendelee kuwa mama wa nyumbani ila kwa kumruhusu aende kujiongeza kielimu nadhani nikujitafutia pressure ya moyo tu.
UNADHANI ANAFANYWA KWASABABU NI KISURA? HIYO NI TABIA NDUGU, HAINA DAWA....HATA ANGEKUWA NA SURA KAMA GOTI, ATATONGOZWA NA ANAWEZA FANYWA VILEVILE.....Mwanamke hachungwi ndugu....
 
Huwezi mchunga mtu mzima mkuu, Mama huwa anaelezwa ni nini unapenda na nini hupendi then unamwambia uwanja ni wake aamue kusuka ama kunyoa...Wazuri kila siku wanazaliwa akizingua unamzingua na wewe then unavuta kitu ingine kalii..
 
Hata saluni na sokoni haendi? Kitchen party na vicoba je? Msiba wa rafiki au ndugu yake na fulani?
Hizo point ndio wanakochapwa hasa...!
Kwa hali hii mkuu huyu jamaa itabidi atafute sayari nyingine ya kuishi pamoja na kisura wake. Lakini si kwa hapa duniani. Labda tena si kwa uhakika kabisa awe anamfungia ndani yeye anapotoka. Kumdibiti binadamu aliyeumbwa na mungu na akapewa akili yake si jambo linalowezekana.
 
Bora aendelee kuwa mama wa nyumbani ila kwa kumruhusu aende kujiongeza kielimu nadhani nikujitafutia pressure ya moyo tu.
Wazee wanasema kama ipo, ipo tu! Sioni ubaya wa kujiendeleza kwake
 
Mwanamke hachungwi..muache akasome aje msaidiane maisha by the way ulimkuta bikira!?
 
kama umemzalisha watoto 3 hakuna shida ila kama hajazaa idadi hiyo basi kupinduliwa nje nje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom