No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,319
- 13,242
Tarehe 25-julyhz0 week mbili wameanza kuzihesabu tangu lini....?
Tarehe 25-julyhz0 week mbili wameanza kuzihesabu tangu lini....?
Jaman mm mwenyewe npo field hapa yan ckuhz pesa hamna......yan unafanya field ya uhacbu unashika pesa tu lkn hulipw.....Auwiiiiiiiiii shikamoo magufultunabana matumizi kwa sasa..hata miaka ijayo hizi field zote itabidi ziwe zinafanyika mwezi ramadhan na zingine kwaresma ili ziendane na kasi ya kubana matumizi
Nyi wanafunzi wa vyuo tunataka muishi kama mashetani,pesa yenu ya field tumeamua tuitumie kuamia dodoma endeleeni kuisoma numberHabari JF, wenye update kuhusu pesa ya Field maana mambo si mambo tulioko vijijini kufundisha.
22 /07hz0 week mbili wameanza kuzihesabu tangu lini....?
sawa22 /07
hahah new member bhanaHii ishakula kwenu vijana,,,,,, polen saana
Jaman mm mwenyewe npo field hapa yan ckuhz pesa hamna......yan unafanya field ya uhacbu unashika pesa tu lkn hulipw.....Auwiiiiiiiiii shikamoo maguful
Polenii sana..mngewahi kusoma kipindi cha JK.
......kwa kwel jmnJK tulikuwa tunamtukana mzee wa watu...sasa ngoja tulipwe....JK mi nisamehe bure sikujua nilitendalo




ha ha ha ha ha daaahtunabana matumizi kwa sasa..hata miaka ijayo hizi field zote itabidi ziwe zinafanyika mwezi ramadhan na zingine kwaresma ili ziendane na kasi ya kubana matumizi