Looking for gentleman

Looking for gentleman

tupia picha kwanza coz mm ni handsome ili nifanye upembuzi yakinifu,
 
Hello,

Naamini mwenza anaweza patikana popote na humu pia naamini wapo walio serious na uhitaji wa kweli.

Mimi ni msichana, umri wangu 27, mkristo na black in colour

Kama Mungu atapenda natamani nimpate a serious man, umri kuanzia 29-36,awe mkristo, na mwenye nia ya dhati ya mahusiano.

Kama tutamatch mambo mengine tutafahamishana.

Huwa naogopa kujicomiti kwa mtu nisiyo wahi muona maana kuna watu humu over 36 , tafadhari tuonane in Private PM'
 
Hello,

Naamini mwenza anaweza patikana popote na humu pia naamini wapo walio serious na uhitaji wa kweli.

Mimi ni msichana, umri wangu 27, mkristo na black in colour

Kama Mungu atapenda natamani nimpate a serious man, umri kuanzia 29-36,awe mkristo, na mwenye nia ya dhati ya mahusiano.

Kama tutamatch mambo mengine tutafahamishana.

nko serious na tunamatch kwa sifa ulizotaja mama, njoo pm
 
Am 28yrs old. ,and tallest boy and mbavu Nene,ntafaa, ,??? !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom