BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,784
Mchana jua kali Israeli anaona miyeyusho hapatani na mwanga
Wanawake hujifungua usiku kwa sababu tendo la ndoa hufanyika usiku, na mimba ni miezi tisa, kama ulitenda tendo la ndoa saa kumi usiku, ndio mida huo miezi tisa itakapofikia, that is it!!!Nami niongezee hapo,ni mara nyingi pia wanawake hujifungua usiku.
watoto wote huzaliwa na miezi tisa?Wanawake hujifungua usiku kwa sababu tendo la ndoa hufanyika usiku, na mimba ni miezi tisa, kama ulitenda tendo la ndoa saa kumi usiku, ndio mida huo miezi tisa itakapofikia, that is it!!!
Ni kweli lakini kulipokea hilo ni ngumu Kamanda DUsiogope mkuu kifo kimeumbwa kufa ni lazima ni suala la muda tu
Yan ww ndio umefunika.....ila hata dada poa wapo ucku na vibaka pia wapo ucku bila kuwasahau wale waruka kwa anga pia n ucku [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...lolHata kuingia tumboni kwa mama,mara nyingi binadamu huingizwa tumboni usiku.
Usingizi wenyewe ni nusu kifo! Unapokuwa macho na kama afya imedhoofu bado una hakiba ya kuweza kuuendesha mfumo wa pumzi , lakini unapolala ni ngumu mno#Mshana Jr hawezi kukosa ufafanuzi wa hizi mambo.
Mambo mengi mabaya hufanyika kizaniNimekumbuka wimbo wa AIC Vijana kwaya... "Usiku wa manane"....
Ndio, mm siongelei abnormalities hapa!!,!watoto wote huzaliwa na miezi tisa?
Basi bhn usiendele inatosha, usije sababisha leo chumbani kwangu nikakuona kama kituo cha polisi.Usingizi wenyewe ni nusu kifo! Unapokuwa macho na kama afya imedhoofu bado una hakiba ya kuweza kuuendesha mfumo wa pumzi , lakini unapolala ni ngumu mno
Kuna hospital moja nilihudumu kitengo cha wagonjwa waliozidiwa basi ilikuwa ni lazima kuwaamsha wote kila ilipofika usiku wa manane
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Basi bhn usiendele inatosha, usije sababisha leo chumbani kwangu nikakuona kama kituo cha polisi.