gerit
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 307
- 181
Wakuu pole na majukumu. Katika kusoma kwangu kidogo bado sijapata uhakika pasipo shaka kuwa dunia ni duara. Kwani hata ukisafiri vipi bado unakuwa juu ya uso wa surface na inaonekana bado ni almost tambalare hatugeukii chini wala dalili uwe Japan au Nigeria wala si Marekani. Wenye ufahamu zaidi Tafadhali nisaidieni. Nawasilisha