Shemeji yangu amenifanyia kituko cha ajabu sana!

Shemeji yangu amenifanyia kituko cha ajabu sana!

Vituko vya wanawake vinaweza kukusababishia ukamuua mtu bila kukusudia....alafu unaenda jela bila ya kutarajia....
 
Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yangu ya kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeji yangu nyumbani, kaka alikuwa bado hajarudi. Kama kawaida yake akaanza.“Haya mume wangu kipenzi leo umeniletea nini?” Nikamwambia leo sina kitu wife kesho nitakuletea bonge la zawadi ,akasema wala usijali mume wangu leo nina bonge la zawadi yako, mi nikajua utani!

Aliniacha sebuleni yeye akaingia chumbani kwake na mimi pia sikukaa sana nilienda chumbani kwangu. Mara tu nikasikia ananiita "Shemeji njoo huku tayari", nikatoka, akaniambia njoo huku chumbani kwangu, nikafika ila nikaishia mlangoni akaniambia ingia shemeji.

Nilipoingia nikamkuta amevaa nguo moja fupi ya ajabu ...akaniambia ngoja nikuonyesha mambo ninayompa kaka yako.Akaanza kukaa style tofauti tofauti pale kitandani za kusisimua, kweli nilishindwa kumuelewa nikamuuliza shemeji huu ni utani pia au uko serious??.Akaniangalia tu machoni halafu akaendelea.Nilivyoona vile nilifungua mlango nikatoka. Akaaniita kwa hasira mi nikarudi chumbani kwangu nikalala.Sasa naona hata aibu kumwangalia shemeji yangu.

Sasa wakuu huu si ndio muda wa manfongo?
Ukiona ivo nenda kapange umekua sasa usikae kwa kaka ako bwana
 
Umefanya first class mistake...angenikuta mim..
 
Kama brother ako anatumia ARVs na wewe unataka kujiunga sio??Think big
 
Mh! hapo unatafuta ugomvi na kaka yako. Akigundua undugu unakufa.
 
Ndugu yangu usije kuthubutu tena kufuata huo ujinga wa shemeji yako. Kumbuka ww upo hapo kwa hisani ya kaka yako sio huyo mwanamke. Atakapogundua una sex na mke wake ndio undugu wenu unaweza kuishia hapo. Tena usiombe akukute live anaweza kukuua. Tena usianze kumchekea na kaa mbali naye atakusababishia majanga. Wanawake bana msipoolewa mnaanza kujaza kweny nyumba za ibada na kwa waganga. Mkiolewa mnaanza vituko. Angejua kuna wanawake wanalilia kuolewa hata asingethubutu huo ujinga. Aende kwa waganga wa kienyeji na kweny nyumba za ibada aone vizuri au aingie jf love connect hapo.
Chochonde mkuu achana mazoea na huyo mwanamke, tena mwambie asikuzoee. Najua kwa sasa hataona impact lkn siku ukifumaniwa ndio utajua.
Km mimi ndio brother wako nikikuta ni kichapo kwanza wote wawili halafu siku hiyo hiyo mnafungasha mizigo yenu. Na undugu ndio unaishia hapo
 
daah! dogo langu kumbe linataka kumla mke wangu hivihivi nakuja kulibamba uku jf

daaah! dogo yan hii comment naandika kwa hisia na hom nisikuone tenaa!

pumbaaavuu!!
 
hana lolote umalaya tu unakusumbua olé wako niwakute mmegandiana
Kesho nakupa nauli urudi kijijini nyau mkubwa we
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom