Samsung Galaxy S5, Gold color 4 Sale

Samsung Galaxy S5, Gold color 4 Sale

Please naomba direction ya dukani kwenu iliniweze kuja.

Halafu, kuna mdau ameuliza kuhusu lte, je, lte ni nini.??
 
Lte au LTE ni aina ya Forth Generation(4G) mobile communications standard. (yenye internet speed ya ukweli)

"Watumiaji wa simu zenye LTE 4G network wanafaidika na data speeds ambayo ni up to 10 times faster zaidi 3G network ya sasa "

Simu nying za kisasa hasa zinazopatikana kupitia South Afrika ni LTE. na ndio best smartphones.

# SASA unachotakiwa kufanya ni kujipatia smartphone ya ukweli ya Lte kutoka kwangu kwa bei pouwa kabsa(me ni vunja bei). then unaenda kubadili line yako upewe inayosapoti 4G network araf unaanza kufaidi internet speed ya ukweli mwanzo mwisho#

Mimi napatakana Kkoo, ukifika kariakoo sehemu yoyote piga simu #0654776976.utaelekezwa na utafika kwa urahis dukani au utafuatwa ulipo na kuletwa dukani...pia kwa asiyeweza kufika anaweza kuletewa mzigo popote alipo kwa kuchangia gharama kidogo tu ya usafiri( boda boda).

Ninazo Simu mbali mbali za kisasa na zote ni Lte nauza kwa bei chee tu kila mtu afaidi. Karibuni saana.
vunja BEI. 0654776976.
 
Jina la duka linaitwaje?
 
Brand new Samsung Galaxy S5 LTE, waterproof, Gold color 16GB For Sale, comes with all accessories.
#0654776976# pia kuna s6 edge 64GB, iphone 6s gold 64GB, na smartphones nyingne za kisasa za kisasa kwa bei pouwa. maelewano yapo.
# Price 480000

afa2f7cc18e079296f73c868d57204aa.jpg
ce8abf7b3f7f07267d5a33b8ccddb099.jpg
9b0394000a692b786663c92ba70fd3e6.jpg
5eb1ac0b0fd90487362af7d5b643a4c0.jpg
Samsung edge unayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom