Je Kuna ukweli kuwa wachawi wanaogopa nguruwe na bangi!
Kuna SKU nilala nikanyolewa nywele je kwann walininyoa na je wanafanyia nn
Ndege kichawi au ungo unafanana je
Hiyo ni habari kwann isitangazwe?inaadhali gani kwa jamii, acha habari itufikie tujue lipo tatizo nchini kwetu linahitaji ufumbuzi mm coni kosa kwa ITV kutangaza ipo sku tutaambiwa hata matangazo ya vifo yasitangazwe ili watu wasijue kama tunakufa
Ya aina ya mbingu hyo utakayo ikuta,Kuna ambavyo hata ufikikilie hupati jibu,kama kabla ya dunia,kulikuwa nanii, mungu asili yake nini huwezi pata jibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.