GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,418
- 120,736
Rejeeni Kichwa cha Habari na karibuni mtiririke tafadhali.
Nawasilisha.
Nawasilisha.
Uko right kabisa addition mentality ya wanawake ni kama vile Tigo hawana ile hali hupenda sana wawe na matako, Wengine huwaza hata kama hawakati gogo wawapo na watuShughuli hizi hufanyika chooni, usifikiri kila anaenda kule ni namba moja au mbili, hii ni namba tatu inayopeleka watu kule na uwe peke yako.
Anzisha thiredi mkuu. Wachangiaji tuposijaona habari za Bashite ,wanaweka wapi siku hizi?