masanjamkandamizaji
Senior Member
- Oct 30, 2014
- 171
- 72
Napitapita humu MITANDAONI naona marafiki zangu wote wanaishi MIJINI (ARUSHA, DAR, ,MWANZA na TANGA)
◆Hata wale waliopewa MIMBA sekondari wakaacha SHULE wakiwa Form 1C wanajinasibu kuwa ni MABIKIRA na wameandika WAMESOMA au WANASOMA University of Dar es salaam (UD) wengine najua kabisa wamesoma VETA Shinyanga Degree ya Kupanda MAUA ,Naishiwa NGUVU ninapoona KAKA mwenye FAMILIA anasisitiza apewe namba ya SIMU na Dada Aliyepost PICHA amebinua MAKALIO!!
◆Naamua kuachana nao narudi WATSUP nakukutana na TEXT ya BINTI ananipiga MZINGA akanunue GESI,LUKU na Hela ya SALOON ,amesahau kwenye DP ameweka PICHA ya MWANAUME na status yake "You are my Everything"
◆Napigwa na BUTWAA kisha naingia INSTAGRAM na kukuta na TEAM flani eti wanabishana kweny post "Kati ya Zari na WEMA nani ana MAKALIO Mazuri" Namuona JAMAA namfahamu kabisa ana
MKE na WATOTO anamsifia GIGY MONEY eti ana makalio mazuri badala ya kumsifia MKE wake!!
◆Narudi zangu FACEBOOK nakuta DADA aliyepata KAZI kwa RUSHWA ya NGONO ameandika "Asante YESU nimepata KAZI" Wengine wana VITAKO vidogo kama NGUMI lakini wakipiga PICHA lazima WAJIBINUE maskini ya MUNGU mtapata ULEMAVU WA KUJITAKIA!!
Baada ya kusoma POST hiyoo naamua kuzima DATA!!