ulekwe
JF-Expert Member
- Oct 28, 2014
- 202
- 175
Habari nina idea ya network japo si kwa sana swali ni kwamba nawezaje tumia internet ya ofisini kwangu ata nikiwa mbali na ofisi ikiwa details muhimu zote muhimu ya network yangu nazijua kuanzia my IP address niliyopewa na ISP wangu na DNS zile.
Mana kazi zangu Mara nyingi zategemea internet na najikuta nakaa sana ofisini muda mwingine hadi saa 5 usiku ama nikitoka inanilazimu nijiunge na vifulushi vya internet tena ili nifanyie nyumbani. Asanteni muongozo katika hilo