ni mdudu aliye katika hatua ya larva (kiwavi) katika makuzi yake kabla ya kuwa mdudu kamili....akishatoka hatua hiyo anaingia hatua nyingine iitwayo 'buu' (pupa), na kisha kuwa mdudu kamili.Huyo anaitwa bashite hata huku kwetu kolomije wako wengi sana