Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Ex wangu kanipigia simu ety nimpelekee EARPHONE zake*
*Nimempelekea na mimi nikachukua Simu niliyomnunulia Nimeacha ana connect EARPHONE zake kwenye redio sijui zilikubali*
Spendagi ujinga mimi
bado Sijamaliza dozi
*Nimempelekea na mimi nikachukua Simu niliyomnunulia Nimeacha ana connect EARPHONE zake kwenye redio sijui zilikubali*
Spendagi ujinga mimi
bado Sijamaliza dozi