Recent content by Busara ziro

  1. Busara ziro

    JamiiForums Tanzania Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

    Kumbe Infarnity Soldier ndiyo wewe, nimeshaamini kua umeipoteza kweli, nitakutetea pale msibani
  2. Busara ziro

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ninawaowadai wanilipe hela zangu?

    Wakopeshe tena
  3. Busara ziro

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa Hussein Mwinyi kugombea Urais Zanzibar ni upi? Wajumbe tuelewesheni

    Siasa ni Mchezo mchafu..
  4. Busara ziro

    JamiiForums Tanzania Mabinti waliozaliwa familia zenye uwezo ndio wenye mapenzi ya dhati

    Umenena bro yaan Kwenye mabano WAKISHUA.. Tutafute pesa
  5. Busara ziro

    JamiiForums Tanzania Jinsi Baba na mtoto wanavyowazianaga

    Sio mchezo
  6. Busara ziro

    JamiiForums Tanzania Yule aliyesema wapinzani ni sawa na Corona, yupo wapi siku hizi?

    Atakua amekufa kwa corona
  7. Busara ziro

    JamiiForums Tanzania Typing errors za smartphones

    Kuna mdau alitumiwa sms na baba yake ambae walishaachana na Mama ake akimwomba asisahau kumuekea msosi badala ya kujibu "poa " akajibu "oa". Nadhani mnafahamu kilichofuata
  8. Busara ziro

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa: Kwenu wataalam, hii inaitwaje?

    Muda mwingine ni ndoto fulani ulishawahi kuota sasa yale mandhari ya kwenye ndoto unakuta yanaendana na hayo mapya.. Wakati mwingine huendana na vitendo vile ulivyowahi kuviota. Sent using IPHONE 8
  9. Busara ziro

    JamiiForums Tanzania Maelfu wapona corona kwa siku moja Italia

    Ngoja tuendelee kusikizia1 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Busara ziro

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mpangaji mwenzangu ni mchawi

    USIHAME, KAZANA NA MAOMBI
  11. Busara ziro

    JamiiForums Tanzania Natamani sana zali la Coronavirus linipate

    WEWE HUTUFAI MKUU
  12. Busara ziro

    JamiiForums Tanzania Jinsi Baba na mtoto wanavyowazianaga

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Busara ziro

    JamiiForums Tanzania I was in the Illuminati, I’m going to tell you everything, shocking expose

    Uje na uzi wa kiswahili mkuu , itakua sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Busara ziro

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha mwanzo na sayansi kuhusu umbo la dunia

    Umekuja na maswali mengi mkuu , iweke viuri iyo thread tuje kukupa majibu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom