Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
Habari za humu jukwaani
Tafadhali husika na kichwa cha habari. Kwa wataalam wa kudai madeni fedha nk, nifanyeje ili watu niliowakopesha wanilipe? Maana nimewaamini watu nikawakopesha kazi baada ya hapo simu zao hazipatikani. Nifanyeje?