Nimeshindwa: Kwenu wataalam, hii inaitwaje?

Nimeshindwa: Kwenu wataalam, hii inaitwaje?

Nilizaliwa kipinda ambacho kupata kadi ya kliniki, nchi hii, haikuwa Jambo rahisi, na wazazi kukumbuka ulizaliwa lini, ilikuwa siyo Jambo la msingi kwao, umekula kwao ndiyo kila kitu.

For the purpose of certificate, niliweka tarehe ya February.

Sent using Jamii Forums mobile app
teh teh
sawa sawa mkuu,labda wakumbuke tuu mwaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda mwingine ni ndoto fulani ulishawahi kuota sasa yale mandhari ya kwenye ndoto unakuta yanaendana na hayo mapya.. Wakati mwingine huendana na vitendo vile ulivyowahi kuviota.

Sent using IPHONE 8
 
Mimi kwangu kinachotokea ni kila Mtu ninaemuona nahisi kama nishawahi kumuona sehemu maana sur inakuwa sio ngeni machoni yaani nishawahi kumuona kabisa
 
Kuna wakati pia naweza kuwa nimekaa au kulala(bila kuwa na usingizi), fikra na matukio hunijia juu ya jambo fulani katika mtindo wa picha. Baada ya muda kufika au nikiwa eneo husika jambo lilelile hutokea.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara kibao tu hali hiyo hunitokea

Sometimes naweza ku-predict kua kuna mtu atakuja na kuongea maneno flani, halafu baada ya muda akaja na kuongea maneno hayohayo

Na kuna consipirancy nyingi kwenye dhana hiyo ambazo watu wamekua wanapachika majibu yao yakufikirika kua ndio sababu
the secret
Unachoeaza, ukiwaza kwa kuamini itatokea, hata Kama unatafuta parking. Nenda ulipolusudia ukiwa na mawazo kwamba nitapakuta patupu na ukaamini utapakuta hivyo. KWELI UTAPAKUTA HIVYO
 
Back
Top Bottom