Recent content by Burebure

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nang'atuka rasmi kutoka CCM

    Kwa staili hii tumekwisha maana.........!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ilitabiriwa hii kumbe

    Yametimia sasa!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha wachezaji wa yanga kumpiga refa hakikubaliki

    Ni ndoto kabisa kukua kwa Soka letu na tutaishia kusema Ipo siku!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi mtaacha lini kutoa report zenye mkanganyiko?

    Kazi ya polisi ni Ulinzi wa raia na mali zao lakini sasa naona kuwa Kazi ya Polisi ni Ulinzi wa Wahalifu na Mali zao!
  5. B

    JamiiForums Tanzania TBC aibu tupu

    Duuuh!! Inasikitisha sana!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kashfa mbaya ya rushwa iliyomkuta m/kiti wa halmashauri ya wilaya ya Ludewa

    Hao watapeli lazima wapukutishwe mmoja baada ya mwingine!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Sifa kuu ya JK

    Kwa hakika tunashindwa kumuelewa kabisa mtu huyu!@Anatetea haki ya kuishi kwa binadamu na Je,hao waliopigwa risasi na polisi huku Songea hawakuwa na haki ya Kuishi??
  8. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweni na mbinu thabiti kuikabili CCM katika uchaguzi wa Arumeru.

    Nikujitahidi kudhibiti nyendo zozote zitakazo onekana ni kinyume na maadili ya Uchaguzi na haki kwa mpiga kura na hata mgombea.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Akina dada, wanaelekea wapi? Tunaoa artificial women???

    Kiukweli uzuri wa mwanamke ni Tabia na sio Urembo!!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Hali Inavyotisha Hospitali ya Muhimbili

    Mtoto hawezi kufanya jambo bila kuambiwa au hawezi kubadili mwenendo wake mbovu bila kufokewa ama kupigwa ndivyo ilivyo kwa SERIKALI yetu ya sasa,Imekuwa mpaka aidha maandamano,vurugu,migomo au ajali ndipo inatekeleza yale yanayo wapasa;Je, ni kweli serikali ya Tanzania kulinganishwa na watoto...
  11. B

    JamiiForums Tanzania NAPE ivi inakuaje uzungumzie posho na madokta wakti chama chako ndo serikali?

    Zitazidi kuwa ni stori za akina Sungura na Fisi.!!!!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mambo ya mbagala

    Teh!teh!teh! Kali ya mwaka hiyo!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Arsenal Wenger Aolewa....

    Hiyo ni balaa tena ni ndoa isiyo na talaka milele!!
Back
Top Bottom