Akina dada, wanaelekea wapi? Tunaoa artificial women???

Makes me wonder how we go about it? Wanaume wakweli wako wapi?
Wanaume nao wamekuwa materialistic sana, blackberry 2 laptop 3 sijui magdets kibao constantly looking at hot women on the net. Pia hawa macelebrity wa hollywood wanazidi kuharibu wanawake wenzetu, MTV, E Style .... hizi chaneli zinatoa perception ya mwanamke mrembo aweje and tunapokea tu not knowing kuwa we are not the intended audience
Mwanaume nae ana pressure ya aina yake. leo tunajadili matatizo ya wanawake
But ukweli ni kwamba mwanamke akisha invest kiasi hicho anataka return in investment
Hawezi tena 'kumpenda' mwanaume ambae atashindwa kugharamia maintenance ya capital yake
kwa hiyo wanaume wanakua na pressure kubwa ya kuwatafutia mabinti hela ya saluni, ma carrolite na mengine

Materialism inajifuel yenyewe tu, sababu huyo mwanaume akitafuta na apate, anabadili vigezo
hataki tena 'kuku wa kienyeji', anataka a 'sophisticated woman' anae endana na status yake (dixit them)
Mwanamke nae akisha kua 'sophisticated' hataki mwanaume atakae shindwa kulipia maintenance yake
Wanawake wana raise level kwa kujibu demands za wanaume, wanaume wana raise expectation kwa wanawake.

How do we stop the vicious circle? tupende watu kwa who they truly are, not how they look like or what they have
Mwili wa mwanamke ni part of her, ila sio all there is to see and to love. wanaume na wanawake waelewe hivo
Pia mfuko wa mwanaume ni part of his achievement but kuna vitu vingi sana beyond that, the real man behind it.
 
Ni ngumu kusema kweli but i believe wapo wanawake safi na wanaojiamini sema hawako mainstream kama hawa plastic, we have to find a way to encourage others by showcasing how being natural rocks, how to feel good in your own skin
 
Kwani lazima utafute wa dizaini hizo. Jitafutie zako mweusi tii, makalio bapa, nyonyo sa kumi utulie nae.
 
sema nikupe binti zangu akina cantalisia, husniyo, mwali wote ni
orginal, kuanzia nywele hadi kwenye nyayo za kutembelea, achana
na hao wa kichina.

mama shkamoo, tunashukuru umetulea vizuri. Michina kwetu mwiko.
 
Ni ngumu kusema kweli but i believe wapo wanawake safi na wanaojiamini sema hawako mainstream kama hawa plastic, we have to find a way to encourage others by showcasing how being natural rocks, how to feel good in your own skin
Jaribu kuwa natural na unajipenda kwa jinsi ulivyo........... kujipenda kwako tu kunawavuta hao wakaka, na ukiamua kuwa na wengi, utawapanga msururu kama huna akili nzuri
 
Najivunia kuwa natural na najipenda kweli. Nilikuwa na dreads ndefu nikazikata kwa sasa nina afro maridadi, ninaogea sabuni ya ukwaju na ninapaka almond oil ninanavutia kwa uasili wangu, wanaume nao hawaishi kunifuata lakini ukiwa mkweli kimwili na kiakili pia unakuwa mkweli, kwahiyo napenda kweli ndio maana am still waiting....
 
kudadeki na hili la matiti maana huyo mchina hadi anajitapa kuwa tiba yake ni ya uhakika sasa cjui serikali iko wapi kuona ushenzi kama huu unafanyika hadharani kabisa au wanasubiri iwe balaa kama ilivotokea kwenye dawa za kukuzia ******??
 
kwani tatizo ni kubwa kiasi hiki jamani?
Mie naona hii kitu inakuzwa mno.

Kati ya wanawake 10 wangapi feki??
 
Jaribu kuwa natural na unajipenda kwa jinsi ulivyo........... kujipenda kwako tu kunawavuta hao wakaka, na ukiamua kuwa na wengi, utawapanga msururu kama huna akili nzuri

Nakubaliana na wewe, umenena vyema.
 
Back
Top Bottom