Mambo ya mbagala

Wakati watu wanagombania kupanda mabasi kama kawaida yao,bibi mmoja alipanda akapata siti bila shida
konda akamuuliza"bibi mbona unalia??"
bibi akamjibu "mjukuu wangu kwa miaka 25 niliyoishi mbagala sijawahi pata siti lakini leo nimepata"
konda akamwambia "nyanyuka hiyo siti ya dereva".

Inanoga sana!
 
hii ni mizaha na utani, biblia inasema hukumu imewekwa tayari kwa watu wenye mizaha,

acha hizo tabia zitakukosesha na Mungu aliyekuumba na kukufanya uangamie au ukose baraka zake wakti ukiwa hai duniani

aiseeeee,
 
Wengi wanaoingia Dar Live ni first timers wa club standard/quality ile! Daladala sia ajabu
 
Back
Top Bottom