Recent content by Bungabongo

  1. B

    Sahle-Work Zewde Awa Rais wa Kwanza Mwanamke Ethiopia

    Hellen Johnson Sarif alikuwa wa bara gani
  2. B

    Nini tofauti kati ya 'tumsifu Yesu kristo' na bwana Yesu asifiwe'?'

    Hata maana ya Catholic, lina maana ya ulimwengu wote, ya wote, kanisa la kila mahali la watu wote, la ulinwengu yaani Universe ya wote. Hata waprotestants wanakiri kanisa katoriko la mitume, neno katoriki lipo katika sala zao. Mfano rahisi, Universal Primary school, yaani elimu ya shule ya...
  3. B

    Ugumu huu wa maisha Mikumi nini chanzo?

    Mikumi ni mji wa kitalii, kuna mbuga ya wanyama
  4. B

    Usinunue Smartphone kwa mtu hata kama anauza elfu 10,

    Ili mradi hujaibiwa punzi, mwachiye Mungu. Imepotea Malesian Airline na abiria zaidi ya 350. Sembuse simu?
  5. B

    Jinsi ya kuficha picha & video za kwenye gallery bila kutumia application

    Sasa mtaalam, nataka kufungua simu iliyo na pattern, lakini nimeisaha , nifanyeje?
  6. B

    Msifurahie CHADEMA kupotea

    Tuwe wakweli, hivi hata kama serikali iliyopo inafamya vizuri, unafikiri kweli ni vema upinzazi ufe ili mfumo wa chama kimoja urudi?. Vyama vya upinzani mi muhimu duniani kote, kazi yake ni kuleta changamoto kwa chama tawala
  7. B

    Nikimpa mimba Mwanafunzi wa secondary mwenye miaka 20+, kifungo kitanihusu?

    Je mwanao akipewa mimba na mbaba utampa zawadi? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

    Zito alifanyiwa kampeni na Jk Kigoma ili ashinde badala ya Kabooru, atatokaje nje
  9. B

    Star TV mtakumbukwa kwa uchochezi

    Waweke na sauti ya Lissu aliyoitoa Morogoro Kuwa mwenye Richmond in mwenyekiti wa chama tawala
  10. B

    Star TV mtakumbukwa kwa uchochezi

    Kikwete, tcra na NEC, hawaoni huu kama uchochezi? Wako kimya wanamruhusu Diallo atumie kituo chake kuleta chuki. Lakini machafuko yakitokea kituo chake hakitapona
  11. B

    Mgogoro kutokea UKAWA

    Ukumbuke kwamba kwenye list ya mafisadi iliyotolewa na Dr Slaa, na mafisadi wa Epa, Escrow nk. bado wako ccm na wanagombea ubunge
  12. B

    Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi kuhusu upotoshaji wa gazeti la Nipashe

    Wakuu was mikoa name wilaya wanaweza kutumia nagari ya selikari kwenye kampeni za chadema?. Kama siyo ccm
  13. B

    Prof. Safari na Prof. Mkumbo ndani ya EATV usiku huu

    Mwanaume anayejiita mzuri wa wazuri, sijui kisura au umbo, atakuwa na genius au silka za kike.unajiita mzuri halafu huna pesa, ni shida.Changia hoja a cha kuatack, ni tabia za kike hizo
  14. B

    Prof. Safari na Prof. Mkumbo ndani ya EATV usiku huu

    Dr. Kitilla, hi I tabia ya kuita wenzao tena wasomi Kuwaita wanna siasa za majitaka, yaani Yale ya chooni, siyo tabia ya wasomi kama wewe. Katika kipindi cha siasa na siaa.cha ITV bado anarudia maneno hayohayo aliyokaririshwa na Zito, kama yenye in mnyiraba hajui kwa kiswahili Mani taka...
Back
Top Bottom