mauki barakuda
Senior Member
- Apr 17, 2015
- 126
- 31
Ntaaa ntaaaa ntaaa ntaaaaa oooooooooh chadema mziki wetu Act hawatauwezaaa....
Prof safar kanivunja mbavu asee na wimbo wake
Prof safar kanivunja mbavu asee na wimbo wake
Naona hata Prof Safari kakosa majibu kabaki kujiumauma tu.Kwa hili nakubaliana na Prof Kitila Mkumbo. Kwamba kwa nguvu ya Lowassa ilivyo kubwa in rahisi kwake kuibadilisha Chadema kuliko kwa Chadema kumbadilisha Lowassa. Natazama mahojiano channel ten saa hii.
CDM wamenyeshewa hadi prof wao hajielewi
Acha kukalili kijana we ufikili I think your so narrow minded kaz nayoifanya hata dem wako anaweza akakukimbia akiijua naamin hata robo ya kipato changu huwez gusa so stop these personal attacks
Ana maneno machache yenye point za mashiko sana. Yuko vizuriProf Safari Mtulivu sana....
Hahaaa kanichekesha sana aiseeNtaaa ntaaaa ntaaa ntaaaaa oooooooooh chadema mziki wetu Act hawatauwezaaa....
Prof safar kanivunja mbavu asee na wimbo wake
list of shame cdm wakatae tu, watapata wakati mgumu sana kuisemea hasa wakati huu mhusika mkuu dr slaa yuko pembeni
kutoka ni kesho? au kazi ya KK SECURITY kama vp nipe mchongo wa ulinzi
Prof Kitila hang'ati maneno hata kidogo
Kwel watanzania bado tuna safari ndefu sana hata yesu wala mtume sizan kama anaweza kututoa ktk fikra finyu namna hii by the way wewe sio level yang hata nusu interm of income nipo kazin and kwa taarifa yako I have been in marmo Sweden for 8 yrs kwa kujifunza kaz hii nayoifanya sa hv plz stop personal attacks narudia tena stop it

Kitila mkumbo anafuata mkumbo tu

Unashangaa nini kwani hakuwemo kwenye bunge la katiba?
Je angepitishwa na ccm asingeisimamia na kuhakikisha inapita?
mkuu hilo liko wazi.
Prof Mkumbo; Lowassa Ana nguvu alipokuwa CCM na Ana nguvu/watu wa CDM,CCM na wasio na ChamaProf Mkumbo;Chadema wana wagombea Wawili,Magufuli na Lowassa kwasababu wote wamelelewa CCM,
prof safari;Kicheko...hapana ila itabidi afuate matakwa ya CDM ila ni ya CDM.