Wakuu niwape salaam kwa utanashati na nidhamu iliyotukuka,
Nimekuwa rafiki sana wakutembelea huu mji mdogo wa Mikumi kwa mda mwingi sana lakini mda wote huo nimejaribu kujiuliza maswali mengi bila kupata ufumbuzi nayo nikama ifatavyo;
1.Bei ya chakula ipo juu sana hasa mama ntilie na madukani, hii inanifanya nijiulize kwanini bei ya chakula iwe juu wakati huu mji upo katikati ya Morogoro mjini na ifakara ambapo ni ghala za taifa za chakula za uhakika? Sembe saivi 1300/kg wakati Morogoro hapo jirani ni 800/kg.tatizo nini? Mchele Ifakara 1500/kg lakini Mikumi ni 1900 mpaka 2000/kg.
2.Bidhaa za kawaida kama maji ya kunywa, vinywaji, hazipo kwenye bai ya kawaida tuliyoizoea.
3.Huduma zingine za kijamii hazipo kwenye mfumo wa kawaida kama tulivozoea wakuu Mikumi usipochangamsha akili lazima ukimbie hakuna namna.
4.Na wengine endelezeni magumu ya Mikumi mnayoyajua tupeni pia ufafanuzi wa kina watu wa Mikumi.