Prof. Safari na Prof. Mkumbo ndani ya EATV usiku huu

Prof. Safari na Prof. Mkumbo ndani ya EATV usiku huu

Kwel watanzania bado tuna safari ndefu sana hata yesu wala mtume sizan kama anaweza kututoa ktk fikra finyu namna hii by the way wewe sio level yang hata nusu interm of income nipo kazin and kwa taarifa yako I have been in marmo Sweden for 8 yrs kwa kujifunza kaz hii nayoifanya sa hv plz stop personal attacks narudia tena stop it

Mkuu jina lako limenikumbusha kijiji kimoja kipo Nzega,. Nilipata hitilafu ya gari pale ktk safar zangu za kikazi kama yako! 😀
 
Prof Mkumbo; Lowassa Ana nguvu alipokuwa CCM na Ana nguvu/watu wa CDM,CCM na wasio na Chama
Umaarufu wa Lowassa ameupigania haujaja hivi hivi na amesshasababisha tayari mtikisiko hata kabla ya kushika madaraka yaani baadhi ya viongozi Kukaa pembeni Kama Katibu Mkuu ,je akishika madaraka itakuwaje?
Prof;Safari...Hapana Dr.Slaa yupo likizo na utaona atarudi kujiunga na sisi na utashangaa....Lowassa hawezi kufuata yake...

Nimependa jinsi walivykua wanabishana kwa fact
 
huyo mlinzi kweli. hilo tena ni swali la kuuliza? au huoni hata uandishi wake ulivyo? tatizo huyo jamaa anaona so, lakini ajue hiyo ndo kazi inayomweka mjini, na ni lazima aiheshimu. kwani ukiwa mlinzi tatizo nini? hatiwezi wote kuwa marubani, lazima kuwe na division of labour kama hii ya ulinzi aliyonayo jamaa.

Usipanic na maneno ya mitandaon kk au kweli mlinzi?

Kwel watanzania bado tuna safari ndefu sana hata yesu wala mtume sizan kama anaweza kututoa ktk fikra finyu namna hii by the way wewe sio level yang hata nusu interm of income nipo kazin and kwa taarifa yako I have been in marmo Sweden for 8 yrs kwa kujifunza kaz hii nayoifanya sa hv plz stop personal attacks narudia tena stop it
 
Mwanaume anayejiita mzuri wa wazuri, sijui kisura au umbo, atakuwa na genius au silka za kike.unajiita mzuri halafu huna pesa, ni shida.Changia hoja a cha kuatack, ni tabia za kike hizo
 
Kitila:chadema haijajengwa kwa misingi ya itikadi na sera bali imejengwa katika upeo wa kuibua makosa na madhaifu ya viongozi wa CCM na ufisadi
.
Achana kabisa ndugu na huyu Prof. Kitila Mkumbo kwani yeye mwenyewe alikuwa CDM na aliondoka kwa kufukuzwa, na alikubali vipi kukaa kwenye chama kisicho na misingi, hayo ni maneno ya sungura, "Sizitaki mbichi hizi kumbe kashindwa kuzifikia".
 
Kipindi kilikuwa kizuri hakichoshi na kilikuwa cha kirafiki zaidi hoja za msingi zinatolewa bila kutoa mishipa huku kukiwa na ucheshi hapa na pale......Kitila anakuambia wao watapenya katikati ya ccm na ukawa ili kupata wabunge maana kw pombe na lowasa kupata mgombea urais mwingine wa kuwafunika ni ndoto
 
Hata mimi kanichekesha sana.
Actualy mjadala ulitulia hadi raha, hakika wameutendea haki uprofessor wao.

Laiti kama wanasiasa wote wa nchi hii na bungeni mijadala ingekua inakwenda kama hawa wanasiasa wa leo walivokua wanafunguka japo wametofautiana kiitikadi, basi tanzania yetu tungekua tumepiga hatua kubwa sana ya maendeleo
 
Dr. Kitilla, hi I tabia ya kuita wenzao tena wasomi Kuwaita wanna siasa za majitaka, yaani Yale ya chooni, siyo tabia ya wasomi kama wewe. Katika kipindi cha siasa na siaa.cha ITV bado anarudia maneno hayohayo aliyokaririshwa na Zito, kama yenye in mnyiraba hajui kwa kiswahili Mani taka yana maana gain, Aache kuyatumia. Anatutia hasira sana. Kama hajui nini Mani taka akaulize wazee wenye lugh a yao.Anakera na anatia Basra sanasana

Umepanic...
 
Dah, huu mjadala hatuwezi kuomba urudiwe? Nimefurahi sana kiukweli, nilikuwa natamani uendelee
 
Kama kuna kosa ambalo Chadema hawatakuja kulisahau maisha yao yote ni kumkaribisha Lowassa ndio maana Dr. Slaa ameliona hilo na kuamua kakaa pembeni.
 
Kitila:Lowasa lazima akubali kutubu kwa Watanzania kwamba alitenda dhambi akiwa kiongozi ili watanzania wamsehe au chadema warudi kwa watanzania na wawaambie kuwa list of shame ilikuwa na siasa tu na lowasa hahusiki na ufisadi...!!
Kiukweli jamaa wanatakiwa wakae mezani wajipange wanatokaje kwenye hilo swala. Ingawa kwa hali inavyoonekana, wananchi wengi lengo lao haihusishi saana mtu binafsi, so inaweza isiwe na madhara saana, sababu wengi wameshafanya maamuzi teyari regardless ya taarifa zilizopo kuhusu Ndugu Lowassa.
 
Kiukweli tunahitaji watu wa aina hii ku-debate siasa Zetu, hawa maprof wawili wamenifurahisha leo,wanajadili issues kwa facts,hakuna mihemko ya kisiasa kutokana na itikadi ya kila mmoja, wanapeana space kila mmoja kumsikiliza mwenzie hawabishani, no personal attacks, sometimes they lough with each other not at each other.Tafadhali vituo vya TV tunahitaji watu wa namna hii sio wale wa Jana Channel 10
 
duh kitila anainanga cdm balaa, pro safari naona sio size ya kudebate na kitila
Mkuu hii serikali hata km inatetea uhai wake hawa watu kuwaweka ni kufuru..yaani hawa watu tumeshuhudia wakjiabisha miaka na miaka ila bado tunalazimishwa kuwameza.
 
Hakuna mwenyekiti makini wa chama cha siasa TANZANIA kama MBOWE(Prof KITILA MKUMBO). Anaendelea kusema "SIASA NI SHUGHULI YA WATU, Chadema wamesajili MESS na yeyote atakayemkataa mwanachama anayekuja na wanachama zaidi ya millioni 6 ni MJINGA.
Sasa kamati kuu ya CCM imeparaganyika na kila mtu anasema lake.
Sasa nimeanza kumuelewa LOWASSA kwamba atashinda saa 4 asubuhi.
Afande KOVA pia amehamia UKAWA
 
Back
Top Bottom