Sahle-Work Zewde Awa Rais wa Kwanza Mwanamke Ethiopia

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,672
1200px-Sahlework_Zewde.jpg

Sahle-Work Zewde

BUNGE la Ethiopia limemchagua Sahle-Work Zewde kuwa rais wa kwanza mwanamke wa nchi hiyo. Sahle-Work ni mwanadiplomasia mkongwe ambaye anakuwa mwanamke wa kwanza kuwa mkuu wa nchi barani Afrika.

Kuchaguliwa kwake kunakuja baada ya wiki moja ambapo Waziri Mkuu, Abiy Ahmed, ameteua nusu ya baraza lake la mawaziri wanawake.

Kushika kwake nafasi hiyo kumepokelewa kwa furaha na mitandao ya kijamii ya Ethiopia ikisema ni kitendo cha kihistoria, kinachokumbusha enzi za Malkia Zewditu aliyeiongoza nchi hiyo mwanzoni mwa karne ya 20.

_104027577_presedit.jpg

Mbali na kushika nyadhifa kubwa kama msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Rais Sahle-Work pia ameiwakilisha Ethiopia kama balozi katika nchi za Senegal na Djibouti, alikuwa pia mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika (AU).
 
"Sahle-Work ni mwanadiplomasia mkongwe ambaye anakuwa mwanamke wa kwanza kuwa mkuu wa nchi barani Afrika.
"
Mwanamke wa kwanza how???
 
Kuongozwa na mwanamke bado jamani hii tabu kwa wahabeshi
 
"Sahle-Work ni mwanadiplomasia mkongwe ambaye anakuwa mwanamke wa kwanza kuwa mkuu wa nchi barani Afrika.
"
Mwanamke wa kwanza how???
Sio wa Kwanza barani Afrika! Kumbuka Kuna Hellen Johnson Sirleaf Wa Liberia
 
Atawekwa tu hapo kama samia suluhu...lakini maamuzi yote .....kwa wenyewe!
 
1200px-Sahlework_Zewde.jpg

Sahle-Work Zewde

BUNGE la Ethiopia limemchagua Sahle-Work Zewde kuwa rais wa kwanza mwanamke wa nchi hiyo. Sahle-Work ni mwanadiplomasia mkongwe ambaye anakuwa mwanamke wa kwanza kuwa mkuu wa nchi barani Afrika.

Kuchaguliwa kwake kunakuja baada ya wiki moja ambapo Waziri Mkuu, Abiy Ahmed, ameteua nusu ya baraza lake la mawaziri wanawake.

Kushika kwake nafasi hiyo kumepokelewa kwa furaha na mitandao ya kijamii ya Ethiopia ikisema ni kitendo cha kihistoria, kinachokumbusha enzi za Malkia Zewditu aliyeiongoza nchi hiyo mwanzoni mwa karne ya 20.

_104027577_presedit.jpg

Mbali na kushika nyadhifa kubwa kama msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Rais Sahle-Work pia ameiwakilisha Ethiopia kama balozi katika nchi za Senegal na Djibouti, alikuwa pia mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika (AU).
Siyo mwanamke wa kwanza kuwa mkuu wa nchi barani Afrika kwani Ameenah Gurib-Fakim ni raisi wa Mauritius, Ellen Sirleaf alikuwa raisi wa Liberia, Sylvie Kinig alikuwa kiongozi wa Burundi mwaka 1993, Ivy Matsepe-Casaburri huyu alikuwa raisi kwa muda wa saa 14 baada ya Mbeki kupigwa chini S.a
 
Bila kumsahau Bi. Joyce Banda wa Malawi.
 
Back
Top Bottom