Chama chenyewe kilishauzwa kwa tajiri mfugaji kutoka ccm ndo iwe viongozi na wanachama wake wasiuzike?Mimi tangu Chadema waliponiambia Katibu Mkuu wao Dkt Slaa kanunuliwa naamini kila Mtu ndani ya Chadema anaweza kunuliwa!
Hata Mbowe mkimuweka mbali na Fuko la Ruzuku la Chama anaweza kurudi CCM
Hivi hawa wachoma mageti waliishia wapi?
View attachment 642672
Tokea lini suti za mtumba zikauzwa laki sita? mwenyekiti ni bingwa wa kuwahadaa watanzania.Hizo ndo suti za laki sita Sita Mbowe aliwashonea Nchi nzima
Huyu Mwenyekti Siku akiondolewa kwenye Cheo cha kumiliki Fuko la Ruzuku Chadema ndani ya Miezi miwili anarudi CCM kuunga Mkono jitihada za RaisTokea lini suti za mtumba zikauzwa laki sita? mwenyekiti ni bingwa wa kuwahadaa watanzania.
Hahaa..anyway kachama kenyewe kanajifia nayeye hajali, hashauriki hana hata huruma.uchaguzi ujao atabaki yeye na mkewe..Huyu Mwenyekti Siku akiondolewa kwenye Cheo cha kumiliki Fuko la Ruzuku Chadema ndani ya Miezi miwili anarudi CCM kuunga Mkono jitihada za Rais
Good point!Chadema haiwezi kufa kwani hadi sasa nikiongozi gani wa chadema aliyekwenda ccm? Ni mmoja patrobas lkn uongozi wote uko intact sasa kitakufaje?. Ngoja matawi yadondoke wakati wa kiangazi ili mti uchanue vizuri 2020
Wanamaa sisi ni Nomaaa..hata nyerere alihanyaaa....ww piga domo tuuu lkn ukienda klmanjaro watu wanaish km Ulayaa...Chama gani ukabila na roho mbaya imewajaa mpak kwnye ruzuku ??? Bora ifilie mbali tuepukane na mipasho...
Ushadi upo takukuruKila anaehama wanakwambia kanunuliwa!
Majibu mepesi mepesi tu!
Kama ambavyo wasukuma wamejaa serekalini sasa hiviChadema hakuna democrasia kwenye uongozi wao wa juu wamejazana watu wa mkoa fulani ambao walidominate TRA kipindi fulani
Muwekeni sasa mbali na fuko LA ruzuku mumnunue.Mimi tangu Chadema waliponiambia Katibu Mkuu wao Dkt Slaa kanunuliwa naamini kila Mtu ndani ya Chadema anaweza kunuliwa!
Hata Mbowe mkimuweka mbali na Fuko la Ruzuku la Chama anaweza kurudi CCM
Kwahiyo ukata huu babu yako kakwambia usijiongeze,watu wameiona fursa ya milioni 30 hadi zaidi wewe unataka kufa njaa,ngoja mje kubanana hukohuko mtanyooka.Kama CCM tu inawanunua itakavyo tukiwapa Nchi si mtanunuliwa na Wazungu? Maana mnapenda kununuliwa
Hakuna kitu kibaya kama njaa,njaa hubadili watu msimamo,watu wameona fursa ya kuteuana kila jumatatu wewe unafikiri nani asiyependa mwanae akasome Marekani,wacha vife tutaanza upya ila hata ccm kwenyewe ni njaa na mateso,wacha tuisome namba ndo akili zitarudi haraka,Mbona mtu mwenyewe anawawinda wapinzani kama kuku na wengine wako hoi vitandani anasema waxi kabisa hamkinichagua lazima niwabomolee then watu wanaona anafaa,this is more than a threatVyama vya upinzani vitakapokufa vyote kabisa, ndipo watanzania watajua umuhimu wa kuwa na vyama vya upinzani vyenye nguvu.
Tuwe wakweli, hivi hata kama serikali iliyopo inafamya vizuri, unafikiri kweli ni vema upinzazi ufe ili mfumo wa chama kimoja urudi?. Vyama vya upinzani mi muhimu duniani kote, kazi yake ni kuleta changamoto kwa chama tawalaChadema ngoja ife, hapa CCM mbele kwa mbele