JamiiForums, Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, Centre for Strategic Litigation (CSL) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa pamoja tunawasilisha maoni kwenye miswada minne: Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani; Muswada...
JamiiForums, Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, Centre for Strategic Litigation (CSL) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa pamoja tunawasilisha maoni kwenye miswada minne: Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani; Muswada...
Mtu mmoja huko Orlando anashikiliwa na polisi baada ya kuendesha gari la wafungwa kwenye njia isiyo sahihi na kukataa kusimama mamlaka zilipojaribu kumsimamisha.
Maafisa wa sheria walipokea simu kuhusu tahadhari ya gari la kusafirisha wafungwa likisafiri kwenye barabara ya I-40 huko...
Watu wanne wamepoteza maisha yao na wengine watano wamelazwa kwa matibabu baada ya kutokea mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika Kijiji cha Buchurago, Wilaya ya Misenyi, mkoani Kagera.
Taarifa hii imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa, wakati wa mkutano wake na waandishi wa...
In a recent ruling on November 6, the Iringa Resident Magistrate's Court in Tanzania delivered a verdict that has ignited a debate surrounding its fairness.
Maria Ngoda, a widow residing in the Iringa region of Tanzania, was sentenced to 22 years in prison for the possession of a bucket...
Mgambo wa Manispaa Iringa wakiendelea kuwatoa wafanyabiashara wadogo wadogo katika eneo la Barabara ya Mashine Tatu ili kuweka mji katika hali ya usafi na kuhamasisha wajisiriamali hao kwenda katika maeneo waliyopangia.
Zoezi hilo limekuwa likilalamikiwa na watu wengi kuendeshwa kwa mabavu na...
Mwanamke mmoja anayeitwa Fadhila Balama, mkazi wa Kitwiru katika Manispaa na Mkoa wa Iringa, anakabiliwa na tuhuma za kumuua mume wake, Denis Chumbula, kwa kumchoma kitu chenye ncha kali baada ya mzozo kati yao.
Hii ni kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mtaa, Nazareno Mangw'ata, ambaye amesema tukio...
Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, imemhukumu kifungo cha maisha jela, aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Msingi St Mathew iliyopo Kongowe, Livingston Kyarwenda (40), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka tisa.
Kyarwenda, mkazi wa Mbagala Chamanzi anadaiwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kupitia Kamisheni ya Polisi Jamii na Dawati la Jinsia na watoto limeandaa shughuli mbalimbali ikiwa ni sehemu ya utelekezaji wa kampeni ya kupinga ukatili wa kijinsia yenye kauli mbiu isemyo "Wekeza kuzuia ukatili wa kijinsia".
Akizungumza na Askari wa kike...
Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula amepiga marufuku mavazi yasiyo rasmi ndani ya eneo la bunge. Wetang'ula alisema kanuni hiyo inawahusu Wabunge wote, wasio wafanyakazi, wawakilishi wa vyombo vya habari na wageni
Pia alieleza kuwa wasio wabunge ni lazima wakati wote wavae vitambulisho...
Vita vya Israel-Gaza vimeleta madhara makubwa kwa waandishi wa habari tangu Hamas ilipoanzisha shambulio lisilotarajiwa dhidi ya Israel mnamo Oktoba 7 na Israel kutangaza vita dhidi ya kundi la Wapalestina lenye itikadi kali, likifanya mashambulizi katika Ukanda wa Gaza uliowekwa vizuizi.
CPJ...
Mamlaka nchini Burkina Faso inapaswa kurejesha agizo la kuwajumuisha kijeshi waandishi wa habari Issaka Lingani na Yacouba Ladji Bama na kuhakikisha usalama wa mwandishi wa habari Boureima Ouedraogo kutokana na vitisho vya kutekwa nyara, Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari ilisema Jumatano...
Ujumuishaji wa kidigitali katika sekta ya elimu ni suala linalokubalika kuwa na umuhimu mkubwa katika kuleta mageuzi ya kielimu na kufanikisha maendeleo ya kitaifa. Hata hivyo, ni dhahiri kuwa mchakato huu utachukuwa muda mrefu kufikia mafanikio makubwa hapa nchini kwetu. Kuna changamoto kadhaa...
Vijana wenyewe hawana muda wa kutafuta taarifa. Ukimuuliza mtu kwanini unasapoti chama X hana sababu zaidi ya kusema "hiki chama ndiyo baba lao" 😂😂😂
Na unakuta huyo mtu anamiliki kadi ya hicho chama kwa miaka kadhaa lakini hata ilani yake haifahamu wala hajawahi kuisoma. Mtu wa namna hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.