Zoezi la kutoa wamachinga Mashine Tatu Iringa ni la "kimabavu"

Bull Bucka

Member
Oct 5, 2023
34
46
Mgambo wa Manispaa Iringa wakiendelea kuwatoa wafanyabiashara wadogo wadogo katika eneo la Barabara ya Mashine Tatu ili kuweka mji katika hali ya usafi na kuhamasisha wajisiriamali hao kwenda katika maeneo waliyopangia.

Zoezi hilo limekuwa likilalamikiwa na watu wengi kuendeshwa kwa mabavu na kukiuka haki za msingi za binaadamu.

Ni vyema hatua za kistaarabu zichukuliwe kwa mujibu wa Sheria kwani ikiendelea Machinga nao wanaweza kuamua kutumia nguvu halafu ikapoteza utulivu. Mamlaka na watu wake wanapaswa kufikia muafaka kwa mazungumzo, si kila saa tu upande mmoja uoneshe mabavu.



 
Back
Top Bottom