Recent content by Bulbuli

  1. B

    JamiiForums Tanzania Salamu zangu kwenu members mimi ni mgeni hapa JF

    Karibu sana,tupiamo na kapicha tafadhali
  2. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

    Na kama siyo undugu basi Kuna dawa za kupumbaza jamani,khaa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Meditation ya jua la asubuhi na jua la jioni.

    Aisee umenikumbusha,hii tuliitumia tukiwa wadogo,ukiumwa sungusungu inakubidi kulitazama jua kwa mda,maumivu yanapotea,Sasa naelewa kumbe ilikuwa meditation,Asante kwa Elimu nzur mkuu
  4. B

    JamiiForums Tanzania KATAVI: MTOTO WA DARASA LA 4 AJINYONGA KISA MCHANGO WA SHULE WA TSH 10,000

    Kweli kabisa,miaka 10!!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya walimu wakuu kuwalaza wasimamizi wa mitihani ya taifa madarasani ipigwe marufuku

    Mwl mwenyewe mmoja tu anashindwa kumpeleka nyumbani kwake jaman,walimu wakuu waache ubahili aisee
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wabaya wanadumu na wema wanakufa?

    Pengine Mungu huwaacha wabaya Ili wajifunze na kushuhudia utukufu wake
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hii ndio tamthilia iliyoliza wengi

    Wapi 20 per cent jamani,nyimbo zake zilihit sana miaka ile
  8. B

    JamiiForums Tanzania Aina gani ya kozi itamfaa huyu?

    Mkuu siyo Kila mtu anaweza kusoma sayansi,uhasibu pia ni kozi nzur tu
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amesema kwasasa hayuko tayari kuzaa, kuna mambo yake anamalizia kwanza

    Jamani,Sasa mambo yake yanahusiana vip na uzazi,Kuna watu wanasoma huku ni wajawazito,aache utoto azae bhana
  10. B

    JamiiForums Tanzania Leo ni miaka 25 baada ya tukio la kuhuzunisha la September 11 mwaka 2001

    Nakumbuka nilikuwa kwenye taasisi Moja nafanya kazi ya kujitolea,boss wangu akanihadithia kilichotokea,pentagon imeripuliwa,nimiaka Mingi imepita aisee
  11. B

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kupiga story na mzungu

    Ulijitahid hata ivo maana mlielewana vizur tu,watu tunaogopaga kuongea Brocken jaman,unataman kuongea lakin huamin kama utaeleweka
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mods Angalieni Uwezekano wa Kurudisha Application ya Zamani ya JF

    Nikajua Mimi tu nimebaki na yazamani
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wahenga tujuane hapa..

    Aisee! Kiswahili Drs la sita mwaka 1995
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kilichobaki Sasa nipate mke nioe

    Mambo ya dauble deka hayo,si mchezo
Back
Top Bottom