Recent content by Bulah

  1. B

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo(HESLB), Control Number inasoma 50000 na ukilipa fedha inarudi na mpaka sasa msaada hamna

    Nimeomba mkopo ila control number inaleta 50000 na natakiwa kulipa 30000. kilipa fedha inarudi… nimeenda mpaka bodi ya mikopo wanasema it wao ndo bado hajafanyia kazi na siku zimebaki mbili. Kuna aliyepata changamoto kama hii na ametokaje dakika za lala salama hizi?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Board ya Mkopo (View Application Status)

    Mimi mpaka leo control number inaleta mauza uza… nimeenda mpaka bodi ya mikopo bado hawajanikwamua Control number inaleta amount ya 50000 badala ya 30000 na ukilipa 30000 fedha inarudi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Loose ends Kifo cha Martha Towo

    Nikikutext inbox sms zinagoma kuja
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mandonga Mtu Kazi kupigana Uingereza

    Patawekwa mkalimani
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mandonga Mtu Kazi kupigana Uingereza

    Lugha ya nini bro? Umeona warusi au wachina wakitumia lugha tofauti na zap?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tokea Jenista Mhagama apewe Wizara ya Utumishi hakuna aliyelipwa malimbikizo

    Uongo huo… wapo waliolipwa kibwena tuu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kufunga gesi kwenye gari kunapunguza uwezo kwa 40%

    Ungeenda DIT kwa wataalam wa hizo mambo
  8. B

    JamiiForums Tanzania Maji yamezidi unga: Rais Putin aomba mazungumzo na Ukraine yaanze

    Nyie hamuoni jinsi zelensky anavyochapwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. B

    JamiiForums Tanzania Zelensky asema wanataka kuangamizwa

    Wanachokoza wenyewe afu wanalia lia
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

    Andaa na mabegi kabisa ya kuondoka akishajua sababu ndo tiketi ya kuachwa
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempelekea kadi ya mwaliko ya harusi X wangu

    Bado unampenda ndo maana unaumia na kumuwaza… na huyo akija kuomba penzi hutoweza kumnyima
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimebaki njia panda, sijui huyu mchepuko ana plan gani!

    Kwa hiyo ulipiga mbichi yani[emoji23][emoji23][emoji23]
  13. B

    JamiiForums Tanzania WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Ni kote… wanashughulikia
Back
Top Bottom