Bodi ya mikopo(HESLB), Control Number inasoma 50000 na ukilipa fedha inarudi na mpaka sasa msaada hamna

Bulah

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
247
56
Nimeomba mkopo ila control number inaleta 50000 na natakiwa kulipa 30000.

kilipa fedha inarudi… nimeenda mpaka bodi ya mikopo wanasema it wao ndo bado hajafanyia kazi na siku zimebaki mbili.

Kuna aliyepata changamoto kama hii na ametokaje dakika za lala salama hizi?
 
Kwani wewe ni undergraduate?

Kama jibu ni ndio. Uliwezaje kuwa member wa jf mwaka 2011 ukiwa na approximately umri wa miaka 9 i.e darasa la pili!!?
 
Back
Top Bottom