Board ya Mkopo (View Application Status)

Nami hatua niliyofikia ni hii, tunazidi kuomba kheri ziwe juu yetu@
 
Attachments

  • Screenshot_20231009-205215.png
    Screenshot_20231009-205215.png
    15.4 KB · Views: 27
hivi fomu ukishakamilisha siku hizi hauprint kwa ajiri ya kutuma hard copy?
 
Mimi mpaka leo control number inaleta mauza uza… nimeenda mpaka bodi ya mikopo bado hawajanikwamua
Control number inaleta amount ya 50000 badala ya 30000 na ukilipa 30000 fedha inarudi
 
AAi
Salaam wakuu
Kwa wale walioomba mkopo mwaka huu kuna ambaye ameshapata ujumbe kwenye account yake tofauti na ujumbe huu hapa chini?

Your application is already in Verification process, please wait for the next stage.
Aisee!Haya.

Utakuwa umeomba mkopo kwa level ya Postgraduate. Angalia vizuri.
 
Hvi wadau hapo kwenye application category kwa mtu anayeomba mkopo wa diploma linakaa neno gani ukfungua?
 
Application category ni Diploma.
Ila kuna sehemu sielewi mtu ndo kamaliza form 4 last year kaingia diploma mwaka huu ila kwenye education info wanataka registration no, avn, year of graduation ebu tusaidiane
 
Niliwasiliana na Board wakasema wanaomba mkopo ni kwa wale ambao tiyari wameshamaliza mwaka mmoja wa certificate wanaingia mwaka wa pili ambao ni diploma moja
 
Mkuu sasa watu tushalipa asee.
Mbona kwenye application hawajaeleza hivo mkuu? Kwa hiyo elfu 30000 zetu ndo zimeenda au vipi
 
sina hakika sana maan hata nami nilipojibiwa hivyo sikuelewa vizur ebu jaribu nawe kuwasiliana nao
 
Daah ngoja kesho niwacheki ila kila nikiwaza jinsi nitakavojieleza kwa alienipa ela kuwa tunaweza poteza ela bure nachoka
 
Back
Top Bottom