Recent content by BUGGLE

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kijana afariki akidaiwa kujirusha toka ghorofani. Polisi wakanusha kwa kuwa mazingira hayaendani

    Mtoa mada acha kutufanya hatuna akili..
  2. B

    JamiiForums Tanzania Chuo cha "Aviation" Air Tanzania

    Dunia nzima cheti ndio uthibitisho halali kama kweli umesoma sasa unapotuambia kuwa huna cheti cha form four sisi tufanye nini...?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je hii ni sawa kwa GOLDEN BOOT WINNER?

    Kama huna cha kuandika tulia..!
  4. B

    JamiiForums Tanzania FAKE NEWS: Chui aonekana jijini Dar es salaam

    Unashangaa kuonekana chui mmoja hapa njia panda ya kawe walionekana wanne yaani dume,jike na watoto wawili lakini mpaka Leo maisha yanaenda..!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hii mvua Dar naona inaongezeka mara dufu

    Binadamu hatuna wema iwe jua makelele inyeshe mvua makelele..!Lipi jema kwenu..?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kubusu maiti kwenye jeneza hakuna athari kiafya? Na watoto wadogo kuonyeshwa maiti hakuna athari kwao kisaikolojia maishani?

    Hiyo yote sababu ya msiba wa mzee Mengi...!Ina maana hujawahi kuona watu wanabusu maiti au watoto wanaaga mwili was marehemu..?Acha zako tafakari utapata majibu ya hayo mawazo yako...!
  7. B

    JamiiForums Tanzania R.I.P. Mengi.Lakini mbona Hadi sasa hatuambiwi hadi sasa kafa nini?

    Sababu ya kifo chake inakuhusu nini.?Au ni umbea ndio unakusumbua..?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi kipenzi cha watanzania Edward Lowassa. Sijamwona msibani

    Tupo nae hapa Monduli kwani tatizo nini..?Si alituma mwakilishi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Luthean kumzika Mengi ni udhaifu mkubwa

    Baba askofu Shoo ni muelewa mzuri wa kanuni na taratibu zote za kanisa..!Acha kufanya watu hatuna akili...Kabla ya kuandika chochote tafuta usahihi wa unachotaka kuandika...!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Mengi hapa Machame sasa inamilikwa na wifi yetu

    Huna jipya
  11. B

    JamiiForums Tanzania Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

    Akivaa barrack Obama OK....!Lakini Makonda Makelele kibao....
  12. B

    JamiiForums Tanzania MO,MANJI,BAKHRESA MSIBA HAMJAUSIKIA

    Mo,Bakhresa,Manji,Shubash Patel na hata Azim Dewji wote walikuwepo ila Shubash Patel ndiye aliyepewa nafasi kuongea kwa niaba ya CTI...!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje fingerprints zisiendane na za mtu mwingine??

    Hata siku moja fingerprint haiwezi fanana na mwingine hayo ndio maajabu ya Mungu..!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kumpa Hassan Ngoma wa Clouds Tv kuongoza usemaji wa msafara ni kufeli kwa ITV au upungufu wa nguvukazi IPP Media?

    Nenda kaongee wewe kwani kuna ubaya gani..?Kama huna hoja zenye mashiko kaa kimya..!
Back
Top Bottom