Kumpa Hassan Ngoma wa Clouds Tv kuongoza usemaji wa msafara ni kufeli kwa ITV au upungufu wa nguvukazi IPP Media?

Hao ni wafiwa au ulitaka watoe mfiwa pia moja kwa moja kama wao na Kibonde aliumia mpk umauti mtoa mada shame on you
 
JF ya kijinga sana. Hahahaha usiombe ukaleta mada na kisha mada ikugeukie.

Utatamani kuleft.
 
we jamaa unaugomvi na Ngoma maana mara nyingi tu
Nimejaribu kufatilia msafara uliobeba mwili wa dr Mengi kutoka Kia airport kuelekea machame kwa mda mrefu anayezungumza ktk msafara mzima ni Hassan Ngoma huku warushaji wakuu wa shughuli hyo wakiwa ITV huku kapalatu na mwenzie wakiwa studio wakimfuatilia na kujiunga nae mara moja moja huku wakimuachia uwanja wote Ngoma...pamoja na hii nayosikia kua ni media united je IPP hawana mtu makini wa kuperform show hyo kiasi kwamba mtu wa clouds ndio anafanya coverage nzima huku wao wakibaki kma supporters tu
 
Simbaya kumtumia ,hila ukweli ndo huo Clods watabak kua kileleni maana ukiangalia maandaliz yao tokea Airport mpaka kuaga mwili Dar utaona kuna utofauti mkubwa kuna pahala unaona km hawakujipanga vizur tofaut na msiba wa Luge kilakitu kilikua kinaenda kisomi na kwa ustad mkubwa bt all in all simbaya vyombo vya habr kuonyesha ushilikiano hili pia ni funzo kwa idara na taasisi nyingine.
 
Aiseeee! Mengi alipendwa yeeeeeeeuwiiiiiiii gai gai gai haya sio mapenzi ni mahabati
 
Mwenyeji unatakiwa uwe mwenyeji ingawa haijalishi ila ingependeza itv wangeshika usukani katika shughuli yao!
Kwahio Mengi alivyoomba alishe chakula kwenye msiba wa Ruge hao Clouds hawaku tendea haki uenyeji wao sio?
 
Kwahio Mengi alivyoomba alishe chakula kwenye msiba wa Ruge hao Clouds hawaku tendea haki uenyeji wao sio?
Mkuu, ina maana tasmia ya clouds na itv huijui mpaka ulinganishe tasnia zao na kulisha? Come on, you are better than this man!
 
Back
Top Bottom