FAKE NEWS: Chui aonekana jijini Dar es salaam

FAKE NEWS: Chui aonekana jijini Dar es salaam

Status
Not open for further replies.
Unashangaa kuonekana chui mmoja hapa njia panda ya kawe walionekana wanne yaani dume,jike na watoto wawili lakini mpaka Leo maisha yanaenda..!
 
Leo tarehe 13/5/2019 chui ameonekana eneo la kiburugwa- Goba jirani na shule ya msingi Precious barabara iendeyo Lastanza.

Ni rai kwa wazazi kuchukua tahadhari na mlio karibu na uongozi wa shule hiyo ni vema mkawafikishia taarifa hizi ili wachukue tahadhari kwa watoto wetu.

IMG-20190513-WA0017.jpg
IMG-20190513-WA0017.jpg
IMG-20190513-WA0016.jpg
 
Hapo wanaume wa Dar utasikia wanaingia ndani saa 12 jioni na kulala huku wamejikunyata ka simbilisi! Ha ha haa

Sie huku kwetu mkiti angepiga ngoma, then tunaunda kikosi kazi, tunamsaka huyo chui, tunakamata na kumrudisha porini ili akawafaidishe watalii!!!

Mbona mie niliwah kukuona dar mzee baba😊😊
 
Ndio mnajaribu kuhamisha magoli hivyo kwa habari za kufikirika enheee!!!!Kazi mnayo mwaka huu gademiti[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Habari zenu ndugu wajumbe,TAARIFA KWA WANA KIBULULU,OFISI YA SERIKALI YA MTAA INAPENDA KUWATAARIFU WANANCHI WOTE KUWA KUNA CHUI AMEONEKANA MAENEO YA ZONE "C"KWA PROF.MSANJILA,HIVYO TUWE NA TAHADHALI WAKATI TUNAWASUBILI MAMLAKA HUSIKA KUFIKA NA KUCHUKUA HATUA ZA HARAKA.

*Note*; Kibululu ni Goba yale maeneo kupita La Stanza, Precious School km unatokea Makongo.View attachment 1096330
Huyo ni chui au fisi?!!
 
Fake news, kwanza hiyo picha wa chui ilipigwa india, pili kikawaida chui ni harmless kwa binadamu unless cornered kama mnyama mwingine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom