Recent content by Budika Lambada

  1. Budika Lambada

    Kwanini baadhi ya wanaume hukataa kutoa talaka?

    Huwo ni ugomvi ambao ulikuwa haishi ndani, ajulikani mme nani na mke nani.
  2. Budika Lambada

    Mazoezi haya ya JKT yana walakini. Kijana aliyefaulu vizuri PCM,PCB, etc kwanini ajibamize na matofali kichwani?

    Jamani mnanikumbusha mbari sana 2008, 842 KJ, OP Uadilifu A Coy, namkumbuka afande Nangomba, Kasusi yule noma sana Idi kategea ka shoga ni shida. Ila Jkt ata kama sikupata ajira sijutii kwenda.
  3. Budika Lambada

    Kwanini baadhi ya wanaume hukataa kutoa talaka?

    Aseee, ni simpo sana kama huyo mama ana sababu za msingi.mme ataitwa mahakamani kama hayupo mke atapewa taraka na mahakama. Mimi shahidi nilipewa taraka na mke wangu.
  4. Budika Lambada

    RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

    Mkoa ni mkoa mmoja tu, kanda ni mikoa zauidi ya mitatu, kwa mfano kanda ya ziwa kuna, Mwanza, Mara, Kagera.
  5. Budika Lambada

    Wana Mkoa wa Mara ‘ Upuuzi ‘ kama huu ndiyo unafanya ‘ tudharaulike ‘ na tuonekane siyo ‘ Wanadamu ‘ wa kawaida tubadilke upesi

    Na alie mchoma mke wake kwa kutumia magunia ya mkaa, kisha majivu kutumia kama mborea ni mkulya?. Haya matukio yapo kila sehemu sio Mara tu.
  6. Budika Lambada

    Kisa status ya whatsapp, hanielewi kabisa

    Ivi mnaweza kuwa kwenye mausiano zaidi ya miaka 10 bila ndoa.
  7. Budika Lambada

    Nairobi wamekula kinyesi, tujihadhari

    Mimi nikuwa Nairobi juzi ni pachafu baraaa, hasa soko lao la viatu vya mitumba ( Kigomba)ni shida. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Budika Lambada

    Wamachinga wamefanya Dar kuwa mji wa hovyo kabisa

    Tuache Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Budika Lambada

    Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

    Picha tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Budika Lambada

    Nimempa mimba mama Mjamzito

    Kuwa mpole mkuu atakupa jibu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Budika Lambada

    Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

    Mnielekeze, kwenda pm ndo wapi apo. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Budika Lambada

    2020 hakuna uchaguzi,2025 hakuna uchaguzi,labda 2030 kuendelea.

    Wadai tume huru ya uchaguzi, yani saa 4:00 asubui Magogoni wanaingia. Katiba mpya vs tume huru kwesha kazi.Bila hivyo vitu ccm mbele kwa mbele,2020,25,230,235. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Budika Lambada

    Utafiti: Watumiaji wa simu za Tekno huweka nyimbo za kawaida kama miito ya simu zao

    Bora yenu, uchumi unaruusu. Sisi wa Tecno uchumi wetu umefikia apo,mwachage madhalau. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Budika Lambada

    Baba Nakupenda

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom