Habarini wakuu.
Naandika haya nikiwa na uhakika kabisa kuwa,miaka niliyoitaja hapo juu ni miaka ambayo nchi yetu itakua inafanya kile ambacho wengi tunakiita uchaguzi mkuu.
Kama ilivyokawaida,2020,Magufuli atachaguliwa tena na watanzani kumalizia kipindi chake cha pili....achana na hizi porojo za sijui Lisu mara Membe au nani,kama mlishindwa kumtoa Kikwete 2010 pamoja na udhaifu wake,na uimara mliokuwa nao kwa kipindi kile,sioni mkifanya hivyo kwenye uimara huu wa Magufuli na udhaifu wenu wa sasa.
Mgombea atakayepitishwa na CCM mwaka 2025,atachaguliwa vizuri na ushindi utarudi CCM tena. Rejea 2005,watanzania huwa na matumaini mapya kwa mtu mpya anayependekezwa na CCM,kuliko yeyote yule kutoka chama kingine cha siasa. " Yawezekana siku CCM wanapomtangaza mgombea wao pale DODOMA,wakawa ndiyo wamemtangaza Rais wa nchi"...Mwl JK Nyerere.
2030 ndo kidoogo tunaweza kuuwaza uchaguzi,hasa kutegemea na kama aliyechaguliwa atakua mbovu,rejea uchaguzi wa 2010. Kama atakuwa imara na mchapakazi,endeleeni ndugu zangu wa CHADEMA kuuwaza u Rais wa nchi hii na kuuota.
Kumbukeni kauli hii ya Lisu mwaka 2015"Kama tutashindwa kuiondoa CCM madarakani mwaka huu,tusubiri miaka mingine hamsini(50).".
Niendelee kumkumbusha na Mbowe kauli yake aloitoa akiwa Muheza mkoani Tanga"Kama Rais Magufuli atachaguliwa awamu ya pili,nitajiuzulu siasa. Namkumbusha ili asijiandae kuchukua form mwakani.
Najua wakupinga kila kitu mpo,pingeni leo,ila kama mtakumbuka niliwahi hapa kuwaambia mwaka 2015 Rais ni Magufuli,mapema sana mwezi wa pili mwaka huo,nikiwa natumia ID nyingine tofauti na hii,mtanielewa leo kuwa,hii miaka ya karibuni tutakuwa tunaenda kumpitisha tu mgombea wa CCM.
Sikioni chama chochote cha kuisumbua CCM miaka ya hapa tulipo,wapinzani mnasafari ndefu sana. Jipangeni.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.